Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,016
- 9,885
Uonevu mkubwa sana huu.Yaani mbunge anakula 12m kwa mwezi
diwani 350,000 kwa mwezi
mwenyekitiu wa kijiji 0-aka zero. hawa ndo wanabambikia raia kesi ili wapate chochote kitu
uonevu wa hali ya juu
wanakaribisha rushwa
Hii hesabu yako haiko hivyo, mbunge mmoja katika Jimbo,wakimpunguzia mil 2 anaweza kumlipa mwenyekiti mmoja na diwani mmoja katika Jimbo kwa mujibu wa hezabu hiyo.Lakini Jimbo lina kata zaidi ya 15 hivyo zaidi ya madiwani 15, vijiji au mitaa zaidi ya 100. Kupunguza hela ya mbunge hakuta saidia kuwaongeza madiwani wala kuwalipa wenyeviti wa vijiji na mitaaNa hitimishaa....mbugee apunguziwe mshahara apewe milioni 10 plus posho inamtosha kabisaa,kwenye milioni mbili zilizo katwa kwa mbungee.....milioni moja aongezewe diwani iwe analipwa 1350000 plus posho inamtosha,wenyekiti wapewe 1000000 plus posho tunazo wapa za kutugongea mihuri,helaa za kujiunga zengo inawatosha.maamuzi yangekuwa yangu