Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jun 28, 2012 #1 wenyeviti watatu kutoka kata nakotoka bi Anna Kilango wamejivua gamba na kuvaa gwanda.. source sunrise fm
wenyeviti watatu kutoka kata nakotoka bi Anna Kilango wamejivua gamba na kuvaa gwanda.. source sunrise fm
K kitero JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 563 Reaction score 110 Jun 28, 2012 #2 Watamuuwa yule mama kwa pressure,maaana anajua lile jimbo nilake mpaka baada ya 2015.
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,547 Jun 28, 2012 #3 Ni wenyeviti wa ngazi zipi? Fafanua mkuu
N ngararumu JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 468 Reaction score 188 Jun 28, 2012 #4 Wenyeviti wa ngazi ipi?
U Udaa JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 724 Reaction score 109 Jun 28, 2012 #5 Hizo rasharasha2,mvua 2015.
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,003 Jun 28, 2012 #6 Namsubiri Mama Anne Kilango abwatuke povu mjengoni halafu aunge mkono hoja!!!!!
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,975 Reaction score 9,580 Jun 28, 2012 #7 Crashwise said: wenyeviti watatu kutoka kata nakotoka bi Anna Kilango wamejivua gamba na kuvaa gwanda.. source sunrise fm Click to expand... Kaka hii habari ni njema sana kwa chadema na mbaya sana kwa mama tingatinga, ukizingati ni juzi tu aliwasaliti wananchi wa same kwa kupiga kura ya ndiyo kwa bajeti inayawanyonga wanyonge.
Crashwise said: wenyeviti watatu kutoka kata nakotoka bi Anna Kilango wamejivua gamba na kuvaa gwanda.. source sunrise fm Click to expand... Kaka hii habari ni njema sana kwa chadema na mbaya sana kwa mama tingatinga, ukizingati ni juzi tu aliwasaliti wananchi wa same kwa kupiga kura ya ndiyo kwa bajeti inayawanyonga wanyonge.
S simon james JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 283 Reaction score 140 Jun 28, 2012 #8 Ni kalemawe, ndungu, maore, au kihurio Crashwise said: wenyeviti watatu kutoka kata nakotoka bi Anna Kilango wamejivua gamba na kuvaa gwanda.. source sunrise fm Click to expand...
Ni kalemawe, ndungu, maore, au kihurio Crashwise said: wenyeviti watatu kutoka kata nakotoka bi Anna Kilango wamejivua gamba na kuvaa gwanda.. source sunrise fm Click to expand...
MNAMBOWA JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 2,050 Reaction score 359 Jun 28, 2012 #9 cdm ni chaka la wahalifu acha wakimbilie, changamoto imewasínda
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,358 Jun 28, 2012 #10 Crashwise said: wenyeviti watatu kutoka kata nakotoka bi Anna Kilango wamejivua gamba na kuvaa gwanda.. source sunrise fm Click to expand... Magamba yana kazi kweli mpaka 2015.
Crashwise said: wenyeviti watatu kutoka kata nakotoka bi Anna Kilango wamejivua gamba na kuvaa gwanda.. source sunrise fm Click to expand... Magamba yana kazi kweli mpaka 2015.
webondo JF-Expert Member Joined Apr 29, 2012 Posts 1,713 Reaction score 383 Jun 28, 2012 #11 Mama Anne Kilango upo?? Au hapatikani humu JF? Labda faza Samuel Malecela atajibu maana yeye yupo humu JF.
Mama Anne Kilango upo?? Au hapatikani humu JF? Labda faza Samuel Malecela atajibu maana yeye yupo humu JF.
palalisote JF-Expert Member Joined Aug 4, 2010 Posts 8,335 Reaction score 1,463 Jun 28, 2012 #12 MNAMBOWA said: cdm ni chaka la wahalifu acha wakimbilie, changamoto imewasínda Click to expand... ushawahi kumuuliza mama yako baba yako halisi (biological father) ni yupi?
MNAMBOWA said: cdm ni chaka la wahalifu acha wakimbilie, changamoto imewasínda Click to expand... ushawahi kumuuliza mama yako baba yako halisi (biological father) ni yupi?
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,217 Jun 28, 2012 #13 safi sana....
N Ngoso JF-Expert Member Joined May 26, 2012 Posts 539 Reaction score 116 Jun 28, 2012 #14 MNAMBOWA said: cdm ni chaka la wahalifu acha wakimbilie, changamoto imewasínda Click to expand... sifa yakuwa kamanda wa magamba lazima mishipa ya aibu ikatwe na kusababisha ubongo kuwaza ndivyo sivyo kweli inakuwa uongo na uongo kuufanya uuonekane kweli .hilo ndilo lililokusibu.GAMBA WEE!!!
MNAMBOWA said: cdm ni chaka la wahalifu acha wakimbilie, changamoto imewasínda Click to expand... sifa yakuwa kamanda wa magamba lazima mishipa ya aibu ikatwe na kusababisha ubongo kuwaza ndivyo sivyo kweli inakuwa uongo na uongo kuufanya uuonekane kweli .hilo ndilo lililokusibu.GAMBA WEE!!!
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,578 Reaction score 28,701 Jun 28, 2012 #15 m4c forever and alwaysssssssss
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jun 28, 2012 Thread starter #16 ngararumu said: Wenyeviti wa ngazi ipi? Click to expand... ni watatu na kunamwingi nae kahamia chadema yeye anatoka kata ya matevesi...
ngararumu said: Wenyeviti wa ngazi ipi? Click to expand... ni watatu na kunamwingi nae kahamia chadema yeye anatoka kata ya matevesi...
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,975 Reaction score 9,580 Jun 28, 2012 #17 Kwa mujibu wa Crashwise, wenyeviti waliojivua gamba ni viongozi wa serikali za mitaa kutoka vitongoji vitatu kata anayotoka Mama Kilango. Crashwise pia ametuarifu kuwa mwenyekiti wa serikali za mitaa kata ya Mateves jiji la Arusha amejivua gamba na kujiunga chadema. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kwa mujibu wa Crashwise, wenyeviti waliojivua gamba ni viongozi wa serikali za mitaa kutoka vitongoji vitatu kata anayotoka Mama Kilango. Crashwise pia ametuarifu kuwa mwenyekiti wa serikali za mitaa kata ya Mateves jiji la Arusha amejivua gamba na kujiunga chadema.
IGUDUNG'WA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2011 Posts 2,071 Reaction score 1,317 Jun 28, 2012 #18 viva cdm
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jun 28, 2012 Thread starter #19 webondo said: Mama Anne Kilango upo?? Au hapatikani humu JF? Labda faza Samuel Malecela atajibu maana yeye yupo humu JF. Click to expand... ngoja atatengeneza vcd..
webondo said: Mama Anne Kilango upo?? Au hapatikani humu JF? Labda faza Samuel Malecela atajibu maana yeye yupo humu JF. Click to expand... ngoja atatengeneza vcd..
P Precise Pangolin JF-Expert Member Joined Jan 4, 2012 Posts 13,055 Reaction score 6,777 Jun 28, 2012 #20 MNAMBOWA said: cdm ni chaka la wahalifu acha wakimbilie, changamoto imewasínda Click to expand... Ni kweli kabisa changamoto ya kutaka kumuua dr ulimboka ni kubwa sana lazima waikimbie
MNAMBOWA said: cdm ni chaka la wahalifu acha wakimbilie, changamoto imewasínda Click to expand... Ni kweli kabisa changamoto ya kutaka kumuua dr ulimboka ni kubwa sana lazima waikimbie