Usikose kwenda kutembelea Nyamhongolo na Mahina aisee safi kweli kule. Pakulala kuna Hotel moja tamu sana gorofa mpyaukitoka roundabout ya Picha ya Samaki unaenda Kituo cha Kauma Kenyatta Rodi afu unapandisha kama unaenda Rwegasole.
mnabania mwenzenu starehe,pale deluxe kwanza ni mjini,watu wanatembea mtaani hata saa 9.
sasa akalale capri point kijijini,saa mbili tu huoni mtu barabarani bana,maisha yenyewe haya mafupi,
Holmand Hotel kati kati ya mji pametulia, Ryan's bay hotel, hotel tilapia, hata victoria palace sio mbaya sema iko mbali na kuna kipindi walikua hawauzi pombe.
Lala kingdom ni barabarani na rahisi kwenda utakapo na chumba cha 80 kizuri.hizo tree tree zipo katikati mjni halafu za muda mrefu.kama unasomeka anuani nitafute nakukodishia gari yangu siku laki unazunguka jiji utakavyo