Wenyeji wa Jamvi Naombeni kunijulisha HILI Tafadhali.

Liverpool

Member
Dec 8, 2010
29
0
Mimi ni mgeni hapa jamvini lakini nimejaribu kupitia Post za wanajamvi lakini CJAWAHI kuona,kusoma au mchango wa Mh JMK ndani ya Jamvi je? Hatembelei humu ndani kama afanyavyo Dr Slaa?Au ameshawa2pa wapiga kula kwa maana ameshapata alichokipata japo ni kwa njia ya panya?Viongozi wa Juu Onyesheni uzalendo basi kwa kujumuika na wapiga kura wenu napenda kumpongeza Dr Slaa kwa juhudi zake Hakika wewe ni Mkombozi wetu.
 
Yeye ndo mwenye nchi na sisi wanajamvi hatujakubaliani naye najinsi nchi anavyoipeleka hivyo unategemea achangie nini, isitoshe hana muda wa kujibu hoja makini za hapa mjamvini kwa majukumu mengi ya taifa aliyonayo kama kupokea wanaokwenda ikulu kwa baiskel kumpongeza. wapambe wa mbali ndo wanaojaribu kujitutumua kumsemea, hivyo endelea kuwa karibu na JF utawaona.

Mimi ni mgeni hapa jamvini lakini nimejaribu kupitia Post za wanajamvi lakini CJAWAHI kuona,kusoma au mchango wa Mh JMK ndani ya Jamvi je? Hatembelei humu ndani kama afanyavyo Dr Slaa?Au ameshawa2pa wapiga kula kwa maana ameshapata alichokipata japo ni kwa njia ya panya?Viongozi wa Juu Onyesheni uzalendo basi kwa kujumuika na wapiga kura wenu napenda kumpongeza Dr Slaa kwa juhudi zake Hakika wewe ni Mkombozi wetu.
 
kweli, natamani yule kijana aliendesha baiskeli toka sijui tabora, akaacha kwenda shambani kulima msimu huu wa mvua, angekutana na fisi akatafuna angalau hayo makalio yake
 
Mimi ni mgeni hapa jamvini lakini nimejaribu kupitia Post za wanajamvi lakini CJAWAHI kuona,kusoma au mchango wa Mh JMK ndani ya Jamvi je? Hatembelei humu ndani kama afanyavyo Dr Slaa?Au ameshawa2pa wapiga kula kwa maana ameshapata alichokipata japo ni kwa njia ya panya?Viongozi wa Juu Onyesheni uzalendo basi kwa kujumuika na wapiga kura wenu napenda kumpongeza Dr Slaa kwa juhudi zake Hakika wewe ni Mkombozi wetu.

Mkuu... karibu sana JF...... pindi utakapoona ID iliyoandikwa Dar Es salaam, Malaria Sugu..., Yaya ndio huyo .. mheshimiwa an ID nyingi sana usishangae
 
Ulikua unamzungumzia nani vile, JK?? Yupo sana humu 24, 7!!!

Hivi nyie mkoje kumbe, mpaka mguse ndio mtaweza kutambua??? Tunapishana naye sana humu humu mara kushoto mara kulia. Aendelee kulala raha mstarehe, subutu???

Kwa taarifa yako za ndani sana, mkuu pamoja na wengine kama kumi hivi kwa sasa wanalala nyumba tatu hadi nne tofauti kwa usiku mmoja siku hizi. Kati yao wawili wako upinzani.

Anazo ID mbili, kwisha kazi!!!!
 
Mkuu... karibu sana JF...... pindi utakapoona ID iliyoandikwa Dar Es salaam, Malaria Sugu..., Yaya ndio huyo .. mheshimiwa an ID nyingi sana usishangae

Kafufua nyingine mbili tofauti na hizo. na dogo pia anahangaika kwa ID ya Geniusboy huko.
 
mkuu ... uwezo unao.... yupo humu tena anapata shida sana.... kwani great thinkers wanampa nyeti nyingi sana... na anatumia opportunity hii hapa hapa JF ....., he is politically informed through JF ....... Facebook is a social web portal that has no adds in any political fertility
 
karibu kaka, mkwere yumo humu, hapaepukiki, wala usihofu we mpe tu vidonge vyake. Hana pakwenda. Uwezo mdogo kifikra akiandika utajua ni yeye na marazuli wenzie. Karibu sana ndugu.
 
Hebu tumuulize kwamba Mzee Mwanakijiji, Mwana-JF mwenzie namwenzetu sote, hivi ni kweli kamkatia mawazo yake tu ilhali wezi wa uchaguzi wetu wanadunda tu mtaani?????????????????
 
Back
Top Bottom