Vijana wa Darisalama wote ni wahuni tu, awe mtulivu asiwe mtulivu.Tuelemishane kidogo hapo
Tuchukulie katoka simiyu na Hana ndugu dar es salaam hii, ama huko hakuna anaejua namna ya kufika Zanzibar kutoka simiyu zaidi ya kufika mpaka dsm kwanza.....
Ndo kafika mbezi labda mchana wa Leo .......
Ukizingatia ni member humu na anaona watu wanapost taarifa ama kuuliza kitu chochote wakihitaji kujua... Alikuwa na haki hiyo...
Pengine alikosea kama alitoka Jana angetakiwa aulize toka jana ili mpaka anafika dsm awe anajua atatoka point A kwenda B na ni shngp!
kama bado hajaanza safari ni fresh au kafikia guest kusubr kesho apate boat vizuri pia!
Mkuu mimi sio mpigaji ni kijana mtulivu sana aseeh 👊
Kaka Mimi sina baya maake nakuja dar.... Mpk naenda chuo sikufanyiwa ubaya kwani Mimi nimlipe mtu ubaya ?Vijana wa Darisalama wote ni wahuni tu, awe mtulivu asiwe mtulivu.
.........Cha ajabu kuna wenzako watakuwa wameza inbox kwa mwamba wakijifanya wasamalia.
Watu wa Dar hapana.Kaka Mimi sina baya maake nakuja dar.... Mpk naenda chuo sikufanyiwa ubaya kwani Mimi nimlipe mtu ubaya ?
Labda wengine kwangu hapana
Mkuu ukiwa mwanangu uta enjoy sina uhuni mzee najua kwakuwa hatujuani Ila nipo normal sana...... wizi, utapel hapanaWatu wa Dar hapana.
......Mtu anakupiga huku kashika bible mkononi, anaongea kama katoka chuo cha biblia leo, Wakazi wa Dar wote ni wahuni tu.
Dar ukianza kushangashanga hovyo hovyo unavutia matapeli na vibaka 🙏😂😂😂
sasa mkuu, kwanini asicheke na kima akaze sura..??
asije akukutana na wahuni wakampeleka kwenye pantoni tu😂Avuke tumpokee wa Kigamboni 😂
Kapotea sijui Yuko wap mshkj wetuasije akukutana na wahuni wakampeleka kwenye pantoni tu😂
panda mwendokas ma kivukoni,shuka jiji,muulize MTU yyte bot za Azan atakuoneshaNauli ni kiasi gani na ni kituo gani nishuke zilipo ofisi za boti za Azam nikitokea kituo cha mabasi cha Magufuli au kwa bodaboda ni kiasi gani kutoka stand ya Magufuli mpaka zilipo Hizo ofisi.
NB: Mimi ni mgeni Dar es salaam na naelekea Zanzibar. Kwasasa nipo kwenye Basi.
Wewe sasa unamtisha, aingie ndani ya daraja! Hajawahi kuona daraja kubwa huyo, mwambie awaombe watu wambebe wamvushe barabara wampeleke kwenye mabasi ya rangi ya buluu ya kwenda Kivukoni.Ukishuka magufuli toka nje ya kituo.chukua boda mwambie akupeleke kimara mwisho kituo Cha mwendokasi..ikifika hapo ingia ndani ya daraja vuka ingia kituoni kata tiketi Kisha subiri magari yaloandikwa kivukoni.yatakapogeuzia mkishuka waombe watu wakuonyeshe ferry
Bodaboda simshaur kabisaa ni hatari Sana hapa mjini..Panda magari yanavyoenda posta kivukoni
Kuna bajaji zinaelekea huko
Ila kama una haraka na una Hela fanya elfu nane bodaboda Ili uwahi
keshafika mji mwema kakutana na wapemba atakuwa anajua kafika zenji😄😄😄Kapotea sijui Yuko wap mshkj wetu
PoaNauli ni kiasi gani na ni kituo gani nishuke zilipo ofisi za boti za Azam nikitokea kituo cha mabasi cha Magufuli au kwa bodaboda ni kiasi gani kutoka stand ya Magufuli mpaka zilipo Hizo ofisi.
NB: Mimi ni mgeni Dar es salaam na naelekea Zanzibar. Kwasasa nipo kwenye Basi.
Mropoka hovyo kapotea daah 😂keshafika mji mwema kakutana na wapemba atakuwa anajua kafika zenji😄😄😄
Usikute wajanja walimuingiza mjini Jana usiku🤣🤣🤣Mropoka hovyo kapotea daah 😂
Daaah haionekani kabisa aaani aseme nikifika au la 😂Usikute wajanja walimuingiza mjini Jana usiku🤣🤣🤣