Wenyeji mpo? Naomba mnipokeee!

Nipe Andiko

Senior Member
Jan 20, 2017
133
133
Baada ya kuperuzi katika hili jukwaa kama mgeni, kwa miezi kadhaa, hatimaye sasa nimejiunga rasmi ili kuungana na wenyeji mlioko humu. Ni matumaini yangu kuwa sitajuta kuwemo kwenye hili jukwaa.
 
Karibu JF
Go Falcons, right?

20170122_131712.jpg
 
Kama umeleta viazi vitamu na karanga au asali tutakupokea. La sivyo jikaribishe tu mwenyewe
 
Baada ya kuperuzi katika hili jukwaa kama mgeni, kwa miezi kadhaa, hatimaye sasa nimejiunga rasmi ili kuungana na wenyeji mlioko humu. Ni matumaini yangu kuwa sitajuta kuwemo kwenye hili jukwaa.
Karibu sana mkuu mi naitwa wa stendi ndo mtunzi wa picha za member wa humu hivyo naomba picha yako pliz!!
 
Back
Top Bottom