Wenye watoto kutoruhusiwa kufunga ndoa kanisani wakiwa wamevaa Shela

tehe tehe tehe YES akili zao ndogo tena sana, kuna njia zingine za busara zaidi za kuhimiza kuacha uasherati/uzinzi than hiyo waliyoitumia IQ zao ndogo sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
kama ipi?
 
Ndiyo maana nikasema... iwekwe sheria kwamba mwanamke atakayepata mimba kabla ya ndoa ni lazima afungishwe na huyo huyo aliyemtia mimba... kuwakamta wanaume wanaokataa mimba...
kosa hapo ni uzinzi sio kupata mimba au nn........... kwann uzini kabla hujaolewa??? maandiko yanasemaje kuhusu zinaa?? ktk mwili mwanamke ndio hubeba uthibitisho wa hio zinaa (i.e mimba)..........

habar ya mtu kua bikra au sio bikra hilo hatuwez pia, Mungu ndio anajua.......lkn mimba inaonekana kisha tukufungishe ndoa?? big no!
 
Toka nakua nilikua naelewa kuwa msimamo wa kabisa ndio huh, sasa kama kuna waliokengeuka kwa minajili ya kwenda na wakati, sio vibaya tukakumbushana tu, halafu hilo Tangazo sikulisikia, labda itakua niliuchapa aisee!
 
Nilishaona HUDUMA zikifanyika kwa wakati mmoja! MTU ana mimba na mumewe mtarajiwa wakiwa wamevalia kiharusi, wanarudishwa kundini kwanza halafu ibada ya ndoa inafuata hapo hapo!
 
Back
Top Bottom