Wenye vitambi kutaneni hapa

ze big

JF-Expert Member
Apr 27, 2015
382
350
Habarini wadau. Nimeona nianzishe uzi huu ili kusaidia wanaume na wanawake wenye tatizo la kitambi yaani tumbo kubwa lenye mafta mafta ili muweze kushauriana namna yakukipunguza kama sio kukitokomeza kabisa kama dengue. Hebu shaurianeni hapa ili kuboresha afya ......
 
kama una kitambi njia rahisi ya kukiondoa ni
1.Fanya zoezi la kutembea mwendo wa haraka kwa nusu saa kila siku kwa siku 5 kwa wiki.
2.Kula mboga matunda kwa wingi kuliko wanga
3.Kuwa na ratiba ya chakula kwa siku,wiki au mwezi na uifuatilie
4.Punguza chips,nyama choma ya nundu na pombe
5.Kula milo midogomidogo kutoa nafasi ya mmeng'enyo na ufyonzwaji wa virutubisho toka katika vyakula ulivyo kula.
itaendelea
 
Habarini wadau. Nimeona nianzishe uzi huu ili kusaidia wanaume na wanawake wenye tatizo la kitambi yaani tumbo kubwa lenye mafta mafta ili muweze kushauriana namna yakukipunguza kama sio kukitokomeza kabisa kama dengue. Hebu shaurianeni hapa ili kuboresha afya ......
kwani nawewe mwenzetu?
 
kweli kaka hapo umeongeakitu cha msingi mi nilishaanzaga mazoez kitambo na sasa nimepunguza kitambi kwa asilimia 60% mazoezn ya kukata tumbo pamoja n pushup 100 kila asubuh na 100 kila jioni.
 
Hii inanihusu ila kinanipa heshima mjini nahudumiwa first. Ngoja nikitunze maana hii ndo tofauti yangu na wengi

Kitambi kinampa heshima
 
umerudisha kadi, tupe ujuzi wenzako tunaotaka kurudisha huku supu na ktmoto tunapenda.
Mwanzo nilianza kama utani nili download application moja hivi playstore ya kuhusu diet nikawa naifuata ndani ya wiki tatu nilianza kuona matokeo nikajiunga na gym moja mjini nikawa jioni naenda nafanya maerobics na mazoezi mengine ndani ya miezi nane sina kitambi kabisaaa ila chamsingi ni ulaji jiwekee limit katika ulaji kumbukakuwa YOU ARE WHAT YOU EAT. Mdomo ni kitu kidogo sana lakini ndio nlkinaweza kukufanya uonekane kituko
 
Habarini wadau. Nimeona nianzishe uzi huu ili kusaidia wanaume na wanawake wenye tatizo la kitambi yaani tumbo kubwa lenye mafta mafta ili muweze kushauriana namna yakukipunguza kama sio kukitokomeza kabisa kama dengue. Hebu shaurianeni hapa ili kuboresha afya ......
Jina lako tu ze big, bila shaka nawe mmoja wapo.. Unaomba msaada kijanja mkuu

sema tu km una tatzo la kitamb watu wakusaidie. Si jambo la ajabu sana. Tumeumbwa tusaidiane.
 
Kwani wewe kweli ndie makaveli maana nijuavyo mimi makaveli alishakufaga
 
Back
Top Bottom