Wenye uzoefu wa maumivu ya mapenzi tusaidiane

Hivi karibu nilipost uzi hapo kuhusu kukataliwa na wazazi.

Maajabu binti ana mimba ya mtu mwingine kumbe ilikua ni kuzingukwa tu na jamaa aliyemtia mimba hamuoi, kapita kushoto.

Binti anarudi kuniambia hayo mambo. Ninampenda sana lakini ndio hivyo tena kikwazo mimba.

Naumia moyo wangu ndugu zangu. Naombeni msaada tafadhali.
Achana Nae.Kazi ya moyo NI kusukuma damu.
Funga siku 2,baada ya Hapo utakuwa sawa.
Mwanamke hafai huyooo
 
Sasa kama jamaa kaingia mitini si uchukue kabisa huo mzigo? Umeachiwa ujinome wengine huwa hawaachi. Kama unaweza kuvumilia kutunza mtoto wa huyo jamaa we tunza la huwezi piga chini ila muacha kistarabu, mpepeleke kwao halafu kata mawasiliano naye katafute new brand uje uanze kuzaa naye kwa raha bila msongo wa mawazo, huyo unapenda ndiyo ila hutamfurahia mtoto wake
ngoja tuangalie
 
Ukiwa wewe unajijua ni MTU masikini hakikisha matumizi yako ya akili yanakuwa makubwa Sana

Wewe bado haujui unataka nini katika haya maisha hivyo wenzako wanachofanya wanakupa mipira iliyokufa ili upige wewe , usipojitambua utalea Sana mimba za watu na utaudumia Sana wanawake na mwisho utakufa masikini

Wekeza katika wewe ,usimuhurumie MTU kuwa bahili na katili kwenye mambo ya pesa ,
nime screenshot huu ujumbe
 
Mkuu fuata kanuni ya mwanafalsafa wa kale wa kiswahili.

Mwambie umemsamehe
Endelea kumega tunda kimya kimya
Jikune unapoweza
Haki katoto kakifikisha miezi 6, tia mimba ya mtoto wako, nasisitiza tenaa hakikisha mazingira yote ni wewe tu unahondomola.

Akinasa ikifikisha miezi ya kuzaa nawe pita kushoto.
Hakikisha amekuwa single mama wa baba wawili tofauti.

Huo ndio ujanadume, hawezi kukufanya fala mara mbili
Ahaa asifanye hivo kuna kuteleza jamani usimhukumu sana
 
Hivi karibu nilipost uzi hapo kuhusu kukataliwa na wazazi.

Maajabu binti ana mimba ya mtu mwingine kumbe ilikua ni kuzingukwa tu na jamaa aliyemtia mimba hamuoi, kapita kushoto.

Binti anarudi kuniambia hayo mambo. Ninampenda sana lakini ndio hivyo tena kikwazo mimba.

Naumia moyo wangu ndugu zangu. Naombeni msaada tafadhali.
Kama unaumia moyo basi muoe tu na mimba yake ili roho yako itulie.
 
Hivi karibu nilipost uzi hapo kuhusu kukataliwa na wazazi.

Maajabu binti ana mimba ya mtu mwingine kumbe ilikua ni kuzingukwa tu na jamaa aliyemtia mimba hamuoi, kapita kushoto.

Binti anarudi kuniambia hayo mambo. Ninampenda sana lakini ndio hivyo tena kikwazo mimba.

Naumia moyo wangu ndugu zangu. Naombeni msaada tafadhali.
Jufunze kujipenda wewe kabla ya mtu mwingine ! Hapo anataka kukutumia tu coz yuko out of option ! Usiamini binadamu hutokaa uumie!
 
Back
Top Bottom