Wenye uzoefu wa maumivu ya mapenzi tusaidiane

Hivi karibu nilipost uzi hapo kuhusu kukataliwa na wazazi.

Maajabu binti ana mimba ya mtu mwingine kumbe ilikua ni kuzingukwa tu na jamaa aliyemtia mimba hamuoi, kapita kushoto.

Binti anarudi kuniambia hayo mambo. Ninampenda sana lakini ndio hivyo tena kikwazo mimba.

Naumia moyo wangu ndugu zangu. Naombeni msaada tafadhali.
Pole
 
Wewe ni 2nd option karudi kwako kwa sababu kakimbiwa ila hupendwi. Akishapata uhakika wa maisha kutoka kwako 1st option ataendelea kuwasiliana naye na amzalishe watoto ambao utapewa wewe ulee bila kujua.
Achana naye huyo hakufai tumia akili tupa hilo bomu
 
Ni hakuna mwenye uzoefu wa maumivu ya Mapenzi Mkuu...

Ni unapigwa "Character Development"..unaugulia maumivu..yakiisha unasonga na maisha yanasonga....

Au unasonga na maumivu hivyo hivyo...kikubwa tumepewa kusahau... na siku ukisahau...kuna vitu utakuwa ukikumbuka unaishia kujitukana na kujicheka mwenyewe.
 
Mkuu fuata kanuni ya mwanafalsafa wa kale wa kiswahili.

Mwambie umemsamehe
Endelea kumega tunda kimya kimya
Jikune unapoweza
Haki katoto kakifikisha miezi 6, tia mimba ya mtoto wako, nasisitiza tenaa hakikisha mazingira yote ni wewe tu unahondomola.

Akinasa ikifikisha miezi ya kuzaa nawe pita kushoto.
Hakikisha amekuwa single mama wa baba wawili tofauti.

Huo ndio ujanadume, hawezi kukufanya fala mara mbili
 
Hivi karibu nilipost uzi hapo kuhusu kukataliwa na wazazi.

Maajabu binti ana mimba ya mtu mwingine kumbe ilikua ni kuzingukwa tu na jamaa aliyemtia mimba hamuoi, kapita kushoto.

Binti anarudi kuniambia hayo mambo. Ninampenda sana lakini ndio hivyo tena kikwazo mimba.

Naumia moyo wangu ndugu zangu. Naombeni msaada tafadhali.
Yani hili nalo unaomba msaada? CCM itatawala mpaka ichoke yenyewe kama raia wenyewe ndio hawa.
 
Back
Top Bottom