Kabila gani wewe? Tuanzie hapoHabarini za usiku huu, poleni na majukum
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, nikili mbele zenu sijawai panda ndege ata siku moja
Nimepanga December hii kwenye sikukuu ya Christmas niende mwanza na ndege
Naombe mchango wenu wa mawazo na mzoefu
Hotel ya bei poa pale mwanza?
Gharama za ndege zipoke kwenda na kurudi, au kwenda pekee?
Angani ntakaa muda gani??
Ratiba za kuondoka dar kwenda mwanza kwa ndege uwa ni saa ngapi??
Ili safari yangu iwe nzuri nini nizingatie?
Changamoto gani ni ya kawaida kuvumilika??
Nimeskia ukifanya booking mapema bei inapungua, je Kuna ukweli, na kama ndio utaratibu wa booking upoje??
Karibuni
Nianze kwa kutoa pongezi za dhati kabisa kwa wewe kuamua kupanda ndege. Awamu hii imetekeleza ilani kwa vitendoMsukuma
Umepanga kukaa hotelini kipindi chote??Habarini za usiku huu,
Poleni na majukumu.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, nikiri mbele zenu sijawahi kuanda ndege hata siku moja.
Nimepanga December hii kwenye sikukuu ya Christmas niende Mwanza kwa ndege.
Naombeni mchango wenu wa mawazo na uzoefu.
Hotel gani ya bei poa pale Mwanza?
Gharama za ndege zipoje kwenda na kurudi, au kwenda pekee?
Angani ntakaa muda gani?
Ratiba za kuondoka Dar kwenda Mwanza kwa ndege uwa ni saa ngapi?
Ili safari yangu iwe nzuri, nini nizingatie?
Changamoto gani ni ya kawaida kuvumilika?
Nimeskia ukifanya booking mapema bei inapungua, je kuna ukweli, na kama ndiyo, utaratibu wa booking upoje?
Karibuni
Hotel Farms itakua bei poa kwako na itakufaa hata kwa Week mbili.Habarini za usiku huu,
Poleni na majukumu.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, nikiri mbele zenu sijawahi kuanda ndege hata siku moja.
Nimepanga December hii kwenye sikukuu ya Christmas niende Mwanza kwa ndege.
Naombeni mchango wenu wa mawazo na uzoefu.
Hotel gani ya bei poa pale Mwanza?
Gharama za ndege zipoje kwenda na kurudi, au kwenda pekee?
Angani ntakaa muda gani?
Ratiba za kuondoka Dar kwenda Mwanza kwa ndege uwa ni saa ngapi?
Ili safari yangu iwe nzuri, nini nizingatie?
Changamoto gani ni ya kawaida kuvumilika?
Nimeskia ukifanya booking mapema bei inapungua, je kuna ukweli, na kama ndiyo, utaratibu wa booking upoje?
Karibuni
Mkuu, hii mikoa unakuwepo kwawakti mmoja? Au unapiga sinu kila siku kuulizia kama ndege zimefika au bado (hapa itakuwa unafanya kama meneja wa KIMBINYIKO/ABOOD/DAR LUX n.kHivi hizi ndege za ATCL zote zinafanya kazi? Zinaenda mikoa gani maana Moro, Tanga na Pwani sizioni??
Sasa siuwapigie customer service uangalie bei au kwenye tovuti Yao mkuuHabarini za usiku huu,