joely sandu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 1,962
- 1,819
Nipambane nipate mke au
Pambana uoe kijana...
Pambana uoe kijana...
Kauli hii si mara ya kwanza naisikia.
Chakula, usafi na kauli safi ni silaha tosha katika NDOA.
Kama ndo wanapata hizo raha basi sawa
Ila sisi wanaume tunaujua kupika , sijui kwa nini hatuwazagi kuoa
Yaani aisee
Mi hadi wali naweka nazi !
Jiko la mkaa , la gesi , la umeme yote nimo
Kuoa siwazi kabisa !
.Natumai wote tuko kwenye majukumu yetu ya kujenga Tanzania yetu. (Msitushangae wengine tulikuwa tunaijenga usiku side by side na wabomoaji Taifa)
Navojua mimi hakuna kitu kizuri kama umefika home (Umechoka?) Okay, umefika home una njaa na umemmiss mamy wa House.
Halafu ye anakuletea
View attachment 1147145
Huku yeye umemkuta
View attachment 1147148
Ama
View attachment 1147150
Yani unakaa pale confused kwanza. Akili ziko 'Ovez'. Unashindwa kujua uanze kula kipi sasa.
Asikuambie mtu, mwanamke anayejua kupika ni bora sana katika ndoa. Kuvaa kanga tutafundishana na ni kozi ya cku1 tu. Ila kupika jamani ni muhimu sana kwa wake zetu.
Kwa niaba ya wanaume tuliooa tuwashukuru sana wanawake walio katika ndoa na wanajua umuhimu wa kumpikia mume na watoto. Japo wengine hawapati muda sana lakini hujitahidi. Muishi milele na mfanikiwe!!!!
Mnhh..!!! Hii itakuwa nyumba ndogo lazima...
hapo anamaanisha ukimaliza kula chakula sharti ule chakula tena!

Mwanamke bora hata asijue kupika ila awe na kauli nzuri....Kauli hii si mara ya kwanza naisikia.
Chakula, usafi na kauli safi ni silaha tosha katika NDOA.
Halahala usije ukajiwowa mwenyeweKama ndo wanapata hizo raha basi sawa
Ila sisi wanaume tunaujua kupika , sijui kwa nini hatuwazagi kuoa
Yaani aisee
Mi hadi wali naweka nazi !
Jiko la mkaa , la gesi , la umeme yote nimo
Kuoa siwazi kabisa !
Ni kweli mkuu,yaani kama hana kauli na si msafi hata hiyo kanga moko na hayo maumbile yake pia unaweza usiwe unayaona...Mwanamke hata ajue kupika namna gani kama hana kauli nzuri na usafi yote ni bure.
Kwa hiyo mwanawane wee unawagegeda tuu. Safi sana.Kama ndo wanapata hizo raha basi sawa
Ila sisi wanaume tunaujua kupika , sijui kwa nini hatuwazagi kuoa
Yaani aisee
Mi hadi wali naweka nazi !
Jiko la mkaa , la gesi , la umeme yote nimo
Kuoa siwazi kabisa !
Teh ...Kwa hiyo mwanawane wee unawagegeda tuu. Safi sana.
Hapna nini tena mkuu wakati hawa wameubwa kaajili ya kutusaidia na hiyo ya kugegedwa ndio msaada wenyeweTeh ...
Hapana mkuu
Na kuolewa?Kama ndo wanapata hizo raha basi sawa
Ila sisi wanaume tunaujua kupika , sijui kwa nini hatuwazagi kuoa
Yaani aisee
Mi hadi wali naweka nazi !
Jiko la mkaa , la gesi , la umeme yote nimo
Kuoa siwazi kabisa !
Kama hadi Nazi unaweka basi kuna walakini sehemuKama ndo wanapata hizo raha basi sawa
Ila sisi wanaume tunaujua kupika , sijui kwa nini hatuwazagi kuoa
Yaani aisee
Mi hadi wali naweka nazi !
Jiko la mkaa , la gesi , la umeme yote nimo
Kuoa siwazi kabisa !
Baba Salehe huyo anatushangaza sana Me wenzakeKama hadi Nazi unaweka basi kuna walakini sehemu