Natumai wote tuko kwenye majukumu yetu ya kujenga Tanzania yetu. (Msitushangae wengine tulikuwa tunaijenga usiku side by side na wabomoaji Taifa)
Navojua mimi hakuna kitu kizuri kama umefika home (Umechoka?) <- haishauriwi hiii
😉
Okay, umefika home una njaa na umemmiss mamy wa House.
Halafu ye anakuletea
View attachment 1147145
Huku yeye umemkuta
View attachment 1147148
Ama
View attachment 1147150
Yani unakaa pale confused kwanza. Akili ziko 'Ovez'. Unashindwa kujua uanze kula kipi sasa.
Asikuambie mtu, mwanamke anayejua kupika ni bora sana katika ndoa. Kuvaa kanga tutafundishana na ni kozi ya cku1 tu. Ila kupika jamani ni muhimu sana kwa wake zetu.
Kwa niaba ya wanaume tuliooa tuwashukuru sana wanawake walio katika ndoa na wanajua umuhimu wa kumpikia mume na watoto. Japo wengine hawapati muda sana lakini hujitahidi. Muishi milele na mfanikiwe!!!!