Kwanza kabisa natanguliza pongezi kwa wadau wote wanaolitumia jukwaa hili kwa kutuelimisha kuhusu maswala mbali mbali.. Ombi langu ni kuwa, Nahitaji kuweka mfumo wa flash kwenye ps 2 zangu, wadau naombeni mnijuze how to go about it? Pili, je inawezekana kudownload games from internet na kuzicheza kwa kutumia USB(flash) kwenye PS2, how to do it. Asanteni