Wenye ushahidi wa mauaji ya MO29 kupukutishwa wote

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
11,570
Reaction score
16,017
GTs,

Juzi kati hapa tulionya, walioshiriki na kushuhudia mauaji ya ndugu zetu watanzania wajue hawapo salama kabisa. Na ile tume ya Dkt Samia tumewa tahadharisha siyo ya kushirikiana nayo maana inakusanya pia ushahidi wa wale ambao wanaweza kushiriki kutoa ushahidi kule ICC.

Kwa akili zangu za kijinga, wafuatao hawapo salama kabisa wajiadae kufa kifo kibaya kusafisha mashahidi wote ili kesi ya ICC ikose nguvu.

Jenister Mhagama huyu kauawa sababu alikuwa ni waziri wa afya, alikuwa na ushahidi tosha wa namna majeruhi walivyopelekwa mochwari wakiwa hai wakafia huko, huyu pia alikuwa na ushahidi wa maiti zilivyorundikwa etc.

Waziri mambo ya ndani huyu anamaelekezo yote ya kutekeleza mauaji

Madakitari wa hospitali ambazo zilipokea wagonjwa

IGP na Muliro na askali wote walioshiriki/kushirikiana na kikundi cha mauaji

Tuongeze idadi
 
kwa hao walio aga dunia, matanga yako wapi ndugu mdau tukahani?
 
Jenister Mhagama huyu kauawa sababu alikuwa ni waziri wa afya, alikuwa na ushahidi tosha wa namna majeruhi walivyopelekwa mochwari wakiwa hai wakafia huko, huyu pia alikuwa na ushahidi wa maiti zilivyorundikwa etc.🥺🥺🥺🥺🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
 
Je, walioua polisi na kuchoma vituo vya polisi wako salama? Vipi na wale wahuni ambao walivaa uniforms za polisi nao wako salama? Hali ya wale walioharibu barabara za mwendokasi nao bado wapo?
 
Jenister Mhagama huyu kauawa sababu alikuwa ni waziri wa afya, alikuwa na ushahidi tosha wa namna majeruhi walivyopelekwa mochwari wakiwa hai wakafia huko, huyu pia alikuwa na ushahidi wa maiti zilivyorundikwa etc.🥺🥺🥺🥺🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
porojo zingine bana dah :pedroP:
 
Back
Top Bottom