Nlikua nnahitaji ninunue JTAG but kwa kua bubget yangu ndogo nlitaka nichukue bila ufs socket lakini nna swali kwa WENYE kutumia JTAG.Hivi nikiwa na hiyo package ambayo Haina ufs socket nitaweza kufanya kazi za simu za ufs kwa isp au mpk ninunue socket ya ufs?