Wenye uelewa na haya maswali msaada tafadhali

Picha hapo chini ni graph inayoelezea, ustahimilivu wa bacteria katika Hali mbali mbali za joto

Kuna Aina kuu 4 za bacteria kulingana na ustahimilivu wao katika Hali ya joto (tunapo ongelea joto baridi huingia ndani moja kwa moja)

1.PSYCHROPHILES

Hawa ni bacteria wenye uwezo wa kuishi na kuzaliana kati ya nyuzi joto (-8-20)za celcious
Chini ya joto Hili yaani chini ya hasi nane wadudu hawa hupumbazika, huwa (inactive) hushindwa kuishi na kuzaliana, hawafi ila uwezo wao tuu hupungua kwa kiasi kikubwa
Joto likizidi yaani zaidi ya 20'C wadudu hawa wanakufa (denatured) hukosa kabisa uhai wao kutokana na kiharibiwa kwa ukuta wao wa seli hai (Cell wall)

2.MESOPHILE
Neno meso=katikati
Wadudu hawa Wana uwezo wa kuishi mazingira ya wale wa psychrophiles na wale wa Thermophile ambao ntawaelezea namba 3
Wao Wana uwezo wa kuishi na kuzaliana katika nyuzi joto (10-50)kwa kipimo cha celcious..
Kinyume na hapo yatawapata matatizo kama niliyokwisha Kuyaeleze namba 1

3.THERMOPHILE
Thermo =joto
Hawa wanaenda sana mazingira ya joto kali, ndipo waweze kuzaa na kuishi
Hata uchemshe maji kiasi gani kama hujavuka nyuzi joto wazoweza kistahimili hawafi ila kufa
Joto la mazingira yao ni kati ya(40-75)

4.HYPERTHERMOPHILES
Hili ni kundi la mwisho katika uchambuzi wetu
Neno hayper Thermo =joto kati sana
Hawa hustahimili mazingira hatari sana ya joto kali kiasi kwamba hakuna namna unaweza kuwadhuru kwa joto
Bacteria hawa utawapata kwenye maeneo kama iron furnaces, volcanic cores nk joto leo ni kali sana kati ya 65++++

Nikirudi kqenye swali Lako la kwanini tusigandishe maji badala ya kuchamsha ili kuokoa nishati???

Jibu

Kugandisha kunitumia nishati pia, nishati ya umeme, kama ilivyo kichemsha
Tofauti kidogo ni kuwa kichemsha unaweza kutumia nishati mbadala kama kuni na gesi

KISAYANSI

Pindi ugandishapo maji Wadudu wale hulala tuu, na barafu unapoyeyuka bacteria huamka kama kawa
Hakuna mtu anaweza kunywa barafu akakata kiu...

Chukua mfano nyama ikiwa kwenye friza huwa safi na fresh ila ukiitoa tuu nje baada ya muda huanza kuoza tena!!!! Maji huwa yanachemshwa then yanawekwa kwenye friji

Hata kuchemsha pia tunalenga kuawaua wale bacteria walio na uharibifu katika mwili wa mwanadamuw
Yaani pathogenic bacteria, ambao joto likizidi 75'C wanakufa
So hatuna target ya wale wengine

MWISHO

Kutokana na uchambuzi huu iko bayana kuwa kuchemsha maji ndo njia nzuri ya kuua Wadudu wasababishao magonjwa
Hivyo nishauri watu wachemshe maji
Ila kwa usalama zaidi maji yachujwe na yahifadhiwe sehemu safi, na kama uwezo upo yawekwe kwenye friji
Ili kama Kuna masalia ya bacteria
Wawe inactive

AHSANTE........ View attachment 990588

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinjeketile70 ahsante sana umenirahisishia kazi.Na umejibukitaalamu zaidi ambavyo ningemueleza.Kwa taarifa tu wako bacteria mfano wa typhoid homa ya matumboTriponema Pallidum wana uwezo wa kustahimili jotoridi hadi 100 ndio maana wanasema maji yachemke kwa nusu saa nzima.
Kuna vidudu kwenye nyama ya nguruwe na ng'ombe navyo havifi kwa joto la kuparaza.
Fanya experiment chukua mkate acha sisimizi waingie kisha uweke kwenye friji ila sio freezer.Acha usiku kucha asubuhi
toa mkate weka juani.Baada ya muda sisimizi watanyanyuka na kuchapa mwendo.
Nimeona nitoe mfano huo kuonyesha kuwa ubaridi sana au ujoto sana sio tishio kwa baadhi ya viumbe.

lakini je,wapo bacteria na vijidudu wanaokufa kwenye baridi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha hapo chini ni graph inayoelezea, ustahimilivu wa bacteria katika Hali mbali mbali za joto

Kuna Aina kuu 4 za bacteria kulingana na ustahimilivu wao katika Hali ya joto (tunapo ongelea joto baridi huingia ndani moja kwa moja)

1.PSYCHROPHILES

Hawa ni bacteria wenye uwezo wa kuishi na kuzaliana kati ya nyuzi joto (-8-20)za celcious
Chini ya joto Hili yaani chini ya hasi nane wadudu hawa hupumbazika, huwa (inactive) hushindwa kuishi na kuzaliana, hawafi ila uwezo wao tuu hupungua kwa kiasi kikubwa
Joto likizidi yaani zaidi ya 20'C wadudu hawa wanakufa (denatured) hukosa kabisa uhai wao kutokana na kiharibiwa kwa ukuta wao wa seli hai (Cell wall)

2.MESOPHILE
Neno meso=katikati
Wadudu hawa Wana uwezo wa kuishi mazingira ya wale wa psychrophiles na wale wa Thermophile ambao ntawaelezea namba 3
Wao Wana uwezo wa kuishi na kuzaliana katika nyuzi joto (10-50)kwa kipimo cha celcious..
Kinyume na hapo yatawapata matatizo kama niliyokwisha Kuyaeleze namba 1

3.THERMOPHILE
Thermo =joto
Hawa wanaenda sana mazingira ya joto kali, ndipo waweze kuzaa na kuishi
Hata uchemshe maji kiasi gani kama hujavuka nyuzi joto wazoweza kistahimili hawafi ila kufa
Joto la mazingira yao ni kati ya(40-75)

4.HYPERTHERMOPHILES
Hili ni kundi la mwisho katika uchambuzi wetu
Neno hayper Thermo =joto kati sana
Hawa hustahimili mazingira hatari sana ya joto kali kiasi kwamba hakuna namna unaweza kuwadhuru kwa joto
Bacteria hawa utawapata kwenye maeneo kama iron furnaces, volcanic cores nk joto leo ni kali sana kati ya 65++++

Nikirudi kqenye swali Lako la kwanini tusigandishe maji badala ya kuchamsha ili kuokoa nishati???

Jibu

Kugandisha kunitumia nishati pia, nishati ya umeme, kama ilivyo kichemsha
Tofauti kidogo ni kuwa kichemsha unaweza kutumia nishati mbadala kama kuni na gesi

KISAYANSI

Pindi ugandishapo maji Wadudu wale hulala tuu, na barafu unapoyeyuka bacteria huamka kama kawa
Hakuna mtu anaweza kunywa barafu akakata kiu...

Chukua mfano nyama ikiwa kwenye friza huwa safi na fresh ila ukiitoa tuu nje baada ya muda huanza kuoza tena!!!! Maji huwa yanachemshwa then yanawekwa kwenye friji

Hata kuchemsha pia tunalenga kuawaua wale bacteria walio na uharibifu katika mwili wa mwanadamuw
Yaani pathogenic bacteria, ambao joto likizidi 75'C wanakufa
So hatuna target ya wale wengine

MWISHO

Kutokana na uchambuzi huu iko bayana kuwa kuchemsha maji ndo njia nzuri ya kuua Wadudu wasababishao magonjwa
Hivyo nishauri watu wachemshe maji
Ila kwa usalama zaidi maji yachujwe na yahifadhiwe sehemu safi, na kama uwezo upo yawekwe kwenye friji
Ili kama Kuna masalia ya bacteria
Wawe inactive

AHSANTE........ View attachment 990588

Sent using Jamii Forums mobile app

Nzuuri!
Na hii ina apply hata kwenye vyakula.
Kuna vyakula vingine(mfano wa baadhi ya nyama) inabidi kupikwa zaidi kufikia a certain heat degrees, ili kuua kabisa bacteria wa aina yake kwenye vyakula hivyo.
 
Back
Top Bottom