Natamani niielewe hii thread lakini natoka kapa.Kwa ufupi
"Hata hivyo, kuna wanaume ambao tayari wameshakuwa na maambukizi ya HPV wanatembea na virusi, hawa tunawaita (high risk sexual male patner) wanaume hawa utakuta kila akioa mke anakufa kwa saratani ya shingo ya uzazi, lakini kamwe virusi hao hawawezi kumwathiri yeye."source mwananchi leo,lets change our behavior ya kugegedana.
Mkuu umemwelewa huyu mtu unisaidie? Hiyo HPV anayosema ndio alimaanisha HIV au?..... Afu kila akioa? Kwamba anaweza kuoa wake lets say zaidi ya watano au? Hiyo itakuwa miaka mingapi?Hizo ni ndoa gani hata hakuna kupimana HIV kabla ya harusi???
Kwa ufupi
"Hata hivyo, kuna wanaume ambao tayari wameshakuwa na maambukizi ya HPV wanatembea na virusi, hawa tunawaita (high risk sexual male patner) wanaume hawa utakuta kila akioa mke anakufa kwa saratani ya shingo ya uzazi, lakini kamwe virusi hao hawawezi kumwathiri yeye."source mwananchi leo,lets change our behavior ya kugegedana.
Mkuu umemwelewa huyu mtu unisaidie? Hiyo HPV anayosema ndio alimaanisha HIV au?..... Afu kila akioa? Kwamba anaweza kuoa wake lets say zaidi ya watano au? Hiyo itakuwa miaka mingapi?
Umeona eh? Angetuwekea full story ili tujisomee wenyewe. Hivi vipisi vya habari bana dah! Si unaona hata watu8 kishaingia chaka?sio lazima aoe wote
kajumlisha na nyumba ndogo na nyumba ntobo
afu sidhani kama ni HIV, kwani inaleta kansa ya shingo ya kizazi?
Mkuu umemwelewa huyu mtu unisaidie? Hiyo HPV anayosema ndio alimaanisha HIV au?..... Afu kila akioa? Kwamba anaweza kuoa wake lets say zaidi ya watano au? Hiyo itakuwa miaka mingapi?
Natamani niielewe hii thread lakini natoka kapa.
UFafanuzi tafazali....
Mbona wasiwasi mingi??amegusa ikulu?
Hahaha unajua Mentor na Zion Daughter wanaleta ushabiki tu lakini nna uhakika hawajaelewa pia. Vinginevyo ndo yaleyale ya kuchangia kabla hujasoma thread.tunataka kuelewa tu.
Si unajua wengine ujana haujatuisha.
Hahaha unajua Mentor na Zion Daughter wanaleta ushabiki tu lakini nna uhakika hawajaelewa pia. Vinginevyo ndo yaleyale ya kuchangia kabla hujasoma thread.
HPV ni kitu gani? Ndo nlitaka kujua na kuomba nifahamishwe. Nisaidieni ZD na Mentor kabla sijabadilisha mawazo.
Umeona eh? Angetuwekea full story ili tujisomee wenyewe. Hivi vipisi vya habari bana dah! Si unaona hata watu8 kishaingia chaka?
Heheheheh! Kaaaaz kweli kweli! Papilopa noma hasa kwa kina pampula.umeona sasa jibu la Stamina?
Kumbe HPV ni Human Papiloma Virus.
Yaani sasa hivi ni ndomu hadi home, asijekuwa mtu kaenda jichotea ma papilopa huko.
Haya soma hapo juu na fuatilia kwa makini utakuta anayetakiwa kuwa na hofu ni wewe na wala si mimi. Wanaume tunadunda tu nyie kinamama mnaibuka na kansa ya shingo ya uzazi. Mfumo dume mpaka kwenye maradhi kudadadadadadadeki!!Mbona wasiwasi mingi??amegusa ikulu?
ODM huishi vituko wewe lol. Mfumo dume mpaka kwenye maradhi kudadadadadadadeki!!