wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,210
- 37,832
Ni sawa. Nafikiri huduma yake inatakiwa kuwa kutoa ushauri wa uandaji wa business plan. Consultancy services mara nyingi hutolewa na watu walio bobea kwenye eneo fulani. Yaani wamefanya kazi kwenye eneo hilo hadi amemobea.
Kwa mfano, nikiwa nataka kuanzisha biashara ya kuchimba madini..business plan yangu lazima ishirikishe mtu ambaye anauzoefu na anaijua hiyo biashara,siyo kinadharia bali awe ameifanya.
Ni kitaka kuanzisha shirikala ndege the same...unahitaji mtu anayejua sheria, operation n.kza mambo ya mashirika ya ndege.
Ni bahati mbaya tu unakuta watu wanaanda business plan bila kuwa na uhalisia ili tu wapeleke bank kupata mkopo. Mwisho wake ndo maana unakuta biashara zina fail.
Sijui atatengeneza business plan ya aina gani mtu wa dizaini hii.