Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 857
- 2,289
Aisee kuna appartment hapa ziko 6 kwenye compaund, Kuna nyumba ya faza house pia. Alijenga hizi apaartment akiwa kashajenga nyumba yake tayari.
Issue inakuja hizi appartment zina tank za maji na zote zinashea mita moja na mwenye nyumba(maajabu), Ana watoto 7 na watoto 5 wana familia zao maeneo mengine huko.
Cha ajabu ni kuwa zile familia za watoto wake huwa wanakuja kufua huku wanapishana tu yaani. Bill ikija anataka igawanywe pasu.
Ukipendekeza afunge mita kila mtu anakupa notice uhame. Mfano mimi familia iko Mkoani nipo hapa kikazi na sikuihamisha kwa sababu ya watoto shule usumbufu.
Na sio mkoa wa mbali 4 hrs drive nimefika. So nakaa alone lakini inabidi nilipe bill sawa na mtu mwenye watu 10, Hilo sio tatizo kama hao watu wote wangekuwa wanakaa hapa hapa lakini sio wanatoka mtaa wa 9 wanakuja kutumia maji wanasepa wanaacha bill tu.
Inauma sana aisee.
Bill ikija inagawanywa kwa 7, sisi wapangaji na mwenye nyumba, watoto wake hawapo kwenye bill.