Wenye ndoa acheni tamaa


Aseee!!
Ukitongozwa unakuja kutuambia,
Siku ukikubali baada ya kutoka chumba number 17 uje utuambie pia!!

Halafu we dogo sikia, kama unataka kumpa hiyo kitumbua wee mpe tu,
mambo ya oooh! ana mke, ooh mkewe wa ukweli, hayahusu!
 

[h=2]unamuitaje boyfriend/Girlfriend wako?[/h]
haya hebu mniambie unamuitaje huyo wako wa moyo maana majina ni mengi nwdays​

Ukimalizana na mambo ya BF/GF na kuanza kuongelea Mme/Mke utajua jinsi ya kudeal na hao watu..

Kwa sasa hilo somo ni over dose kwako.

Jipe muda..utaelewa tu!
 
Ukimalizana na mambo ya BF/GF na kuanza kuongelea Mme/Mke utajua jinsi ya kudeal na hao watu..

Kwa sasa hilo somo ni over dose kwako.

Jipe muda..utaelewa tu!

Mkuu mwenzangu ndo maana nikamwammbia kuwa akiwa mkubwa, ataelewa tu...actually atajishangaa ilikuwaje akapost hii sredi
 
Mkuu mwenzangu ndo maana nikamwammbia kuwa akiwa mkubwa, ataelewa tu...actually atajishangaa ilikuwaje akapost hii sredi

Nadhank huko mbele ya safari tutahitaji kuweka age limit kwa kila thread....Hii assumption ya 18yrs old naona siyo sahihi wakati wote!!

Huyu anashangaa kukonyezwa wakati kuna watu hata hawasemeshwa kwa zaidi ya miezi 3....Tuombe Mungu hii JF ifikishe umri wa mtu mzima..Hawa hawa lazima watakuja na ushuhuda tofauti na haya wanayoyasema sasa!!
 
Kutongoza ni jambo
La kawaida ... rahisi kuwambia waache
Tatizo utekelezeji...

Muhimu wewe binafsi chuja...
 
Kutongoza ni jambo
La kawaida ... rahisi kuwambia waache
Tatizo utekelezeji...

Muhimu wewe binafsi chuja...
Kweli AD kutongoza na kutongozwa ni jambo la kawaida
tusilivalie vibwebwe,wengine wanajaribu tu kukupima
 
<br />
<br />
hahahaaa utasubiri sana nadhani chumba namba 17 ntaingia na shemeji yako 2!Ambye c mume wa m2
 
M 25 of age and m getting married soon 4 crying out loudly so cdhani kama kuna utoto hapo waungwana nilichotaka ni nyie wanandoa mkae m2lie na familia zenu majumbani ili na c 2tamani kuingia huko!
 
hahahaaa hakuna alotandkwa changa la macho na nilishaapa mume wa m2 simtaki asilani abadani coz manunguniko na machozi ya mkewe hayatatoka bure ndugu yangu,vijana single wapo kibao so nabaki kuwashusha heshima coz nao hawajiheshimu
<br />
<br />

Bryleen, nakutakia kila la heri.
 

Experience is the best teacher! pole *****!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…