lift gharama
Senior Member
- Apr 11, 2015
- 107
- 66
Jamani wanajamvi salaam,
Nimeona watu tuna miili tofauti. Utakuta mwanamke au mwanaume ana mwili laini. Ukimshika mkono laiiini. Hivi hii hali ina mahusiano na uwajibikaji kwenye viwanja vya six kwa six? Kwamba huko nako ni walaini na wananepa vizuri.?
Mwenye ufahamu atushirikishe