We nae ni fala AiseeYaani watu hadi kwenye daladala anawasha VPN anaendelea na mambo yake.
Basi angeweka hata screen protector ile ya Privacy. Yaani kuna wazee wa hovyo kabisa hapa mjini.
Yaani basi tu sijasoma IT ila ningekuwa nimesoma ningeandika hata proposal ya kupiga ban kabisa na hizo VPN ili tuwe taifa safi ili watu wafanye kazi kwa bidii bila mawazo yao na ubongo wao kuchafuliwa na haya mapilau.
Mliosoma IT na computer science hakuna namna unawweza kuisaidia serikali kupiga ban haya madude ya kina Angel eyes na wenzake.
Anyway nawasilisha.
Eti VPN ipigwe ban. Isingekuwa VPN haya madini ninayowalisha hapa JF mngeyapataje.Yaani watu hadi kwenye daladala anawasha VPN anaendelea na mambo yake.
Basi angeweka hata screen protector ile ya Privacy. Yaani kuna wazee wa hovyo kabisa hapa mjini.
Yaani basi tu sijasoma IT ila ningekuwa nimesoma ningeandika hata proposal ya kupiga ban kabisa na hizo VPN ili tuwe taifa safi ili watu wafanye kazi kwa bidii bila mawazo yao na ubongo wao kuchafuliwa na haya mapilau.
Mliosoma IT na computer science hakuna namna unawweza kuisaidia serikali kupiga ban haya madude ya kina Angel eyes na wenzake.
Anyway nawasilisha.
Wewe una vpn ya tigo?Eti VPN ipigwe ban. Isingekuwa VPN haya madini ninayowalisha hapa JF mngeyapataje.
Acheni mambo yenu bwana.
Saa ngapi zimefungwa.Kwani ni vpn ama mtu ?
Nia ovu ya mtu hawezi sababisha wengine tuteseke.
Alafu vpn mbona zilishafungiwa ?
Ndo maana yake.W
Wewe una vpn ya tigo?
Vpn ya tigo mkuu imefungiwaSaa ngapi zimefungwa.
Well said.Simu Kwa sasa ni
TV
Radio
Chuo /shule
Ofisini
Recreation place
Enjoyment place
So ni swala la mentality ya MTU kujua kipi afanye katika simu yake na kipi asifanye .
Swala kupiga marufuku kila kitu unachoona hakiendani na maadili yako inaweza ukawa sahihi Ila pia ukawa haupo sahihi.
Ni Kama unavyoona Visungura kuna watu wanatajirika Kwa kuua Afya za watu na kuna watu wanakuwa masikini na mateja Kwa kunywa visungura.
Ni vizuri unapoingia sehemu yoyote focus on your own direction. And not to someone's else direction
Practicaly imposible, you simply cant separate nani anatumia kwa kazi zake na nani anatumia vibaya.Yaani watu hadi kwenye daladala anawasha VPN anaendelea na mambo yake.
Basi angeweka hata screen protector ile ya Privacy. Yaani kuna wazee wa hovyo kabisa hapa mjini.
Yaani basi tu sijasoma IT ila ningekuwa nimesoma ningeandika hata proposal ya kupiga ban kabisa na hizo VPN ili tuwe taifa safi ili watu wafanye kazi kwa bidii bila mawazo yao na ubongo wao kuchafuliwa na haya mapilau.
Mliosoma IT na computer science hakuna namna unawweza kuisaidia serikali kupiga ban haya madude ya kina Angel eyes na wenzake.
Msije mkaona mimi ni kilaza kwamba sijui umuhimu wa VPN kwenye baadhi ya biashara, la hasha kuna watu wanatumia VPN kwa ajili tu ya kushusha hayo madude na kuangalia live.
Anyway nawasilisha.