Gloriamagret
Member
- Jun 12, 2023
- 47
- 155
Unakwenda kukata tuketi wanakuambia bus ni luxury choo ndani. Unalipa elfu 45 badala ya 33 kwenda Moshi au Arusha, umelipaa elfu 12 zaidi ili upate huduma ya choo.
Cha ajabu unaambiwa eti ni haja ndogo tu. Kwani nini maana ya choo? Huu ni uwizi
Cha ajabu unaambiwa eti ni haja ndogo tu. Kwani nini maana ya choo? Huu ni uwizi