Huogopi kumrekebisha Phd holder, Dr Matola!!??Umesema ukweli. Sema hapo kwa clips weka crisps
Mkuu, kwani unamaanisha ulitaka uwe unakunya huku bus linatembea...😳😳Unakwenda kukata tuketi wanakuambia bus ni luxury choo ndani. Unalipa elfu 45 badala ya 33 kwenda Moshi au Arusha, umelipaa elfu 12 zaidi ili upate huduma ya choo.
Cha ajabu unaambiwa eti ni haja ndogo tu. Kwani nini maana ya choo? Huu ni uwizi
Acha tabiya za kinyakyusa kula hovyo hovyo kama nguruweUnakwenda kukata tuketi wanakuambia bus ni luxury choo ndani. Unalipa elfu 45 badala ya 33 kwenda Moshi au Arusha, umelipaa elfu 12 zaidi ili upate huduma ya choo.
Cha ajabu unaambiwa eti ni haja ndogo tu. Kwani nini maana ya choo? Huu ni uwizi
Kuna siku tulikua kwenye basi lenye choo safari ya Arusha-Dar. Sasa kuna abiria akaingia toilet akatoa haja kubwa, aisee harufu ilisambaa basi zima lilinuka kama choo. Ilibidi dereva atafute chance, asimame abiria tukashuka, choo ikapigwa usafi kwanza, ikapuliziwa ma perfurme, ndo tukarudi kwa basi kuendelea na safari.Unakwenda kukata tuketi wanakuambia bus ni luxury choo ndani. Unalipa elfu 45 badala ya 33 kwenda Moshi au Arusha, umelipaa elfu 12 zaidi ili upate huduma ya choo.
Cha ajabu unaambiwa eti ni haja ndogo tu. Kwani nini maana ya choo? Huu ni uwizi
Taja kampuni kesho niwaambie wakurudishie hela yako.Unakwenda kukata tuketi wanakuambia bus ni luxury choo ndani. Unalipa elfu 45 badala ya 33 kwenda Moshi au Arusha, umelipaa elfu 12 zaidi ili upate huduma ya choo.
Cha ajabu unaambiwa eti ni haja ndogo tu. Kwani nini maana ya choo? Huu ni uwizi
Kwa hiyo wewe unasafiri na mavi?,Au ndio wale mnaokula sana ili hali mpo safarini.Unakwenda kukata tuketi wanakuambia bus ni luxury choo ndani. Unalipa elfu 45 badala ya 33 kwenda Moshi au Arusha, umelipaa elfu 12 zaidi ili upate huduma ya choo.
Cha ajabu unaambiwa eti ni haja ndogo tu. Kwani nini maana ya choo? Huu ni uwizi
watu wanashusha mpaka kubwaUnakwenda kukata tuketi wanakuambia bus ni luxury choo ndani. Unalipa elfu 45 badala ya 33 kwenda Moshi au Arusha, umelipaa elfu 12 zaidi ili upate huduma ya
mkuu umekaa au iliishi mitaa gani kule ulaya?Tatizo nabishana na wajinga na wezi wasiojua maana ya choo.choo ni kwa haja zote.tulioishi ulaya tunajua maana ya choo kwamba ni haja zote.mbona kwenye ndege hakuna hizo restriction ya aina haja kubwa au ndogo kwenye usafiri.mischojua ni kwamba wenye hayo mabasi wanakwepa garama za kufanya usafi.mabas hayo hayo ya kichina hapo nairobi tu unapata huduma zote za choo.nikae najibana kula kwa faida yako ukwepe garama za usafi.
Kuanzia leo ukiingia kwenye basi lolote lenye choo wala usiulize wewe achia haja zako.wakikughasi washtaki mimi ni wakili mzoefu nitakutetea.Tanzania kuna mambo ya ovyo.mno.
Kwa hili tunaomba msimamo wa LATRA
Unaandika ukiwa unakimbizwa au? Lugha gani hi?Hahaha nimekumbuka zamani bus la metro lilikuwa na choo, lkn mnaanbiwa ni haha ndogo tuu.. tunbi kikavuruga njiani, nikaibgia kule nikaharusha sana, halafu nikatoka mkavuuuu. Sijui ilikuwaje walioofika huko yard
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Pole sana, sikukusudia ila mtoa mada amejidhalilisha sana. Anaringa kutaka kunya kwenye basi? Halafu anatuandikia na thread anataka tumpongeze kwa huo undezi? No way[emoji16][emoji16][emoji16]nmechek mpka nkanya
[emoji16][emoji16]Pole sana, sikukusudia ila mtoa mada amejidhalilisha sana. Anaringa kutaka kunya kwenye basi? Halafu anatuandikia na thread anataka tumpongeze kwa huo undezi? No way
Dr. PhD naye ni binadamu.Huogopi kumrekebisha Phd holder, Dr Matola!!??