Elections 2010 Wenye Mabango Ya Biashara Kuingiza Bidhaa Bila Ushuru Kikwete Akishinda

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Ee Mungu tuepushie mbali na JK.

Kuna taarifa kuwa wamiliki wa mabango ya biashara yaliyoondolewa na kupisha uchafu wa mabango ya "Chagua Chama Cha Mafisadi, Chagua Kikwete" watafaidika na uingizaji wa bidhaa bila ushuru pindi mkwere akifanikisha njama zake za wizi wa kura na kuingia Ikulu.

Jiandaeni kwa uchumi uliofulia zaidi maana TRA watakuwa hawana cha kukusanya.

Msianze kuniuliza 'source'. Mambo mengine yako encrypted.

DR. SLAA FOR LIFE!!!
 
.

Source ni wewe mwenyewe, kwanini uogope? Dont wor kwa sababu umetoa wazo na kama mtu anakuwa kinyume, lazima afanye utafiti kuhusu hilo.
 
Back
Top Bottom