The Orginals
Member
- May 4, 2015
- 88
- 21
trueee dat!!!
Huyo alikuwa anaenda chamanzi akapewa lifti walipofika mbagala eti kakasirika anashuka kwenye gari hataki lifti wakati huko kote hakusema hataki
Wenye hela wengi wanaangukia kwa malaya maana malaya ndio wanaotafuta wenye pesa.Si unajua mwanamke anavyotega baadaye unajikuta umeoa malaya bila kujua.
Ila kuna ukweli katika hili
Manake tajiri anakuwa bize na mambo ya hela na safari za utafutaji.
Sasa mkewe afanyaje? wakumkuna hayupo,yupo bize na kama unavyojua,
matajiri wengi hawana nguvu za kiume.
Automatically mkewe ataonekana malaya
sababu katika mikono yake kuna uwezo mkubwa sana
Hivyo ni rahisi kumchukua yeyote amkune.
Wenye hela wengi wanaangukia kwa malaya maana malaya ndio wanaotafuta wenye pesa.Si unajua mwanamke anavyotega baadaye unajikuta umeoa malaya bila kujua.