Wenye fremu za Biashara Dar walia njaa

Wenye fremu za Biashara Dar walia njaa

msihofu tunanyoosha nchi na muda si mrefu tutawapita hata ujeruman,
 
Hakuna sehemu duniani uchumi hujengwa kwa kupunguza consumption power ya watu!!

serikali imeelekeza nguvu kwenye showoff ambazo hazilengi kukuza uchumii wa watu moja kwa moja. Only fools will accept the stupidity of this govt!!
Mkuu kua makini
 
Fact
 
Uchumi umekufa kibudu , mimi frem zangu hivi sasa nazikarabati kuzigeuza vyumba vya kuishi , nchi imekwisha vibaya sana !

Ikumbukwe kwamba kukwama kwa biashara ndio kukwama kwa TRA , kodi ya kichwa kurejeshwa ili kunusuru nchi .
 
Nitajenga barabara za juu na Chini... ila mliambiwa watakaovuka August 2017 ndio vidume sasa kulikoni tena
 
Back
Top Bottom