Wenye free apps kule play store wanapataje faida?

Wenye free apps kule play store wanapataje faida?

Dejavu

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Posts
1,568
Reaction score
3,428
Siku nyingi huwa najiuliza hawa watu wenye application zao kule play store kuna kitu chochote wanafaidi kutokana na sisi kudownload application zao? Nikisikia kuna mtu anasema ukidownload app ya mtu yeye anapata dola 1.43 per kichwa?

Sasa nikawa curious kujua wenye application zao kule wanatengenezaje hela?

Cc Chief-Mkwawa
Na experts wengineo.
 
Hukuwai kuona ads kwenye baadhi ya apps.
Nilishaona na hii pekee ndio huwa nafahamu but kuna jamaa yeye aliniambia eti hata mtu akidownload app mhusika anapata dola 1.43 kwa kila download anayopata? Hii ndio imenifanya nije kuwauliza maexperts wa humu JF.
 
Hili kwa kweli silifahamu, niliwahi ona kitu inaitwa CPI(cost per install).

Ninavyoelewa kama kuna app mtu ameinstall kwa kupitia tangazo lilokuwa kwenye app yako mfano matangazo ya tala kwenye app nyingine.

Tusubiri wengine wanaweza fafanua.
 
Back
Top Bottom