Sasa division III wasipopata chuo, hivyo vyuo si vitabaki vitupu?? Ishu uwe na angalau D mbili, na chuo utapata. Ila usijichanganye kwenye vyuo na kozi ambazo watu wanazishobokea wale wakuja!!!!!
Nilekebishe kidogo mkuu kama nimekosea sehem,huwa napenda kujifunza zaidi na huwa sipendezwi na mtu anaejivuna kwa kitu alichajaaliwa na mwenyezi MUNGU,
Khabar za masiku wana jamvii, nimepata tetes kuwa kuna baadhi ya wanafunz waliopata div 3 wamepata chuo kwa ngazi ya degree,
naomba majina ya hivyo vyuo na mm nitume maombi.
Asante