Wenye Division III wamepata chuo?

Wenye Division III wamepata chuo?

uncle Bk

Senior Member
Joined
Apr 20, 2015
Posts
165
Reaction score
83
Khabar za masiku wana jamvii, nimepata tetes kuwa kuna baadhi ya wanafunz waliopata div 3 wamepata chuo kwa ngazi ya degree,
naomba majina ya hivyo vyuo na mm nitume maombi.
Asante
 
UDOM
 
Udom...
Saut....
Mwl nyerere....
Suza
Mipango
 
omba Jordan,st.john trust me ukiwa na point tajwa unaenda
 
Khabar za masiku wana jamvii, nimepata tetes kuwa kuna baadhi ya wanafunz waliopata div 3 wamepata chuo kwa ngazi ya degree,
naomba majina ya hivyo vyuo na mm nitume maombi.
Asante
Namfaham mmoja kapata SUA course ya mambo ya home sijui nini

Wako wachache sana ktk course na wote ni mademu
 
Unaongea usilo lijua mkuu...kuna binti alipata division one ya point 9 aliomba udom MD,pharmacy, nursing kozi zote amekosa....first & second batch sasa unavosema ivo nakua sikuelewi....lakini mungu kamsaidia amepata st.john
Sema watu hawajui mm nna rafk yang alikuwa na dvs 1 ya 8 PCB MD kakosa awamu zoote Udom sas hapo ndo useme nn??
 
Back
Top Bottom