wenye div 3 hawaendi kidato cha tano

Ofcourse, kama ni 2013 hiyo ni C kv C= 40-49.

Aseeeee we jamaa NasDaz huwa nakukubali sana coz upo njema kichwani na daily hoja zako huwa zipo very constructive sio kama wasomi wengine wanaoshinda kwenye thread za UKAWA na CCM kupigana majungu, so kuwapa darsa vijana bila kuvunjika moyo.

GOD BLESS YOU.
 
Last edited by a moderator:
kwan credit c zinajulikana ni ngapi zinatakiwa so we km umefikisha ucwaze bt km ni chenga jitie kidole
 

we tupe hiyo tovuti ya wizara ya elimu unayodai kwamba ipo
 
achen kudanganyana.tatizo watu hawapend kufatilia vyombo vya habari kuangalia tv au hata kununua magazet.watu tv wanaangalia muvi 2.sasa elewen kuwa muwe mnafatilia vyombo vya habar ili ujue nn kinachoendelea.matokeo yalvyo toka ya iv2013 ambayo yametoka mwaka huu wazri alfafanua kabisa kuwa watakao enda form v mwaka 2014/2015 mwenye divison 1mpaka3,ya31.NANTHAN MMENIELEWA.THENKX
 

well spoken broda
 

Wewe naye ni Kihiyo kweli, mleta uzi anazungumzia A-Level wewe unaleta habari za Mafunzo ya Ualimu ya Ualimu yanayoratibiwa na Mkurugenzi wa Mafunzo ya Ualimu (wala sio Mkurugenzi wa Elimu). Au nawe ndiyo walewale Div. 5 nini?
 
Wewe naye ni Kihiyo kweli, mleta uzi anazungumzia A-Level wewe unaleta habari za Mafunzo ya Ualimu ya Ualimu yanayoratibiwa na Mkurugenzi wa Mafunzo ya Ualimu (wala sio Mkurugenzi wa Elimu). Au nawe ndiyo walewale Div. 5 nini?
Nashukuru kwa kejeli zako,lakini mtoa mada nilipomwelekeza hakua na majibu ya kashfa na kebehi,na mimi kuwa na divishen 5 sidhan kama ni tatizo kwako,maana haikusaidii wala kukuathiri,
Pia ukihiyo wangu unanisaidia mimi katika harakat za kusaka mkate wangu,
 
Aende wapi huyo mwenye 3? Kesho mnasema elimu imeshuka. Hapo unapaswa uwe mwisho wa safari. Wa 1 aende na wewe wa 3 uende? Wajameni kwanini sasa watu watafute 1 kama kila mtu ataenda? Kama hukufanya uzembe ujue kuwa uwezo wako ni mdogo. Tafuta jambo zuri la kufanya. Soma certifiate.diploma mtakutana kwenye degree.
 


Post zingetoka mda mrefu ! Na wangeenda wenye 1 na 2 !

Ila serikali + Siasa = Tanzania

hizi div 3 ndizo zilizosababisha yote haya !

Nijuavyo mimi !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…