Wenye dhambi nzito tukutane hapa

Mm dhambi kubaa nilowahifanya ni kutoa minba waschana 2. Mmoja ndo naumia sana nlimpeleka kwa daktari wakamtoa kwa mrija yaan kumsafisha ilikuwa ya miezi2.
Sasa alikuwa beki3 and nlikuwa nampenda kupitiliza alikuwa mdogo tu 16urs, and kusema ukwwli alikuwa mrembo kuliko shemeji yenu. Kwsho yake akadai mechi kinguvu ikabidi tu nimpe. Banaeee kumbe msala huo aliugua PID inamsumbua hadi leo. Hakuna kitu huwa kinaniuma kama hiki, baadae wife aligundua akamtimua
 
Kinachosikitisha inaonekana hukujifunza kwenye kila tukio, uliendela kuua watu na mpaka sasa haonekani kujutia, usipokua makini utakufa vibaya, bora umtafute Mungu, ikiwezekana uokoke kabisa.
Duh! Endeleeni kutiririka kwenye uzi, labda mtakuja wale huwa mnanyofoa viungo vya albino.
 
edd-eddy-ed-ed-edd-n-eddy-1999-BPGRW7.jpg

Heeeee...?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom