Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Wasukuma hawana spirit hiyo
Angekuwepo jiwe kufanya confession yake, pengine tungebaki midomo wazi
Wasukuma hawana spirit hiyo
Itakuwa ni mzani tu, hakuna uzuto unaopimwa kwa rula😂Uzito wa dhambi unapimwa ns nini?
Hapana, sio kama huyu. Trust me huyu jamaa atakua na kadi ya CCM



umetisha"dhambi kama jabali ,kwenye hazipimwi" -kwa sauti ya Crazy GKWeee dhambi zetu zinapimika na mzani tu, huyu jamaa dhambi zake anazibeba kwenye tipa.....Mi na wewe hatuna dhambi oooh hallelujah
Na watu wamejaa kwenye box, amejua jinsi ya kuwachotaSioni ukweli hapa mtoa Uzi kaamua kucheza na akili zetu

Nimeogopa jina linasadifuAiseee
Kumbe ndogoSasa hizo nazo ni dhambi??
Mtihani sana1.Shirki (ushirikina)-umo
2.kuua bila hatia -umo
3. Uzinzi -umo
Aisee..