ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,881
- 60,912
Ni kweli na si tu hizo bendera,pia wengi wamekua wakidai wanaenda kuhiji kwa maana kwamba kuna nguvu ya kiMungu ndani yao, na baraka tele!!!,lakini ukweli ni kwamba watu wanafikiri Mungu yupo katika baraka za vitu,kwa sasa Yesu yupo mioyoni katika yohana 4:20-27,na pia baraka zitatokea pale utakapofanya mapenzi ya Bwana wetu Yesu Kristo,kumbukumbu 28:1-14,neno linasema mkitii sauti na amri za Mwenyezi-Mungu ,Mungu wenu baraka hizi zitawajilien,mtabarikiwa mashambani na mijini nk.......!lkin hii hutokana na kwamba watu hawajui nguvu ya Yesu kwamba ipo kwao na kwa watu wa mataifa mengine !!!!hvo nguvu ya bendera au kuhiji haimsaidii mtu chochote km asipoangalia kutimiza mapenz ya Mungu na kuacha dhambi mfn hasira,uzinzi,uasherati,uongo,wivu,usengenyaji,chuki,matusi,uchu ,shauku na mengine kama hayo,(galatia 5:16-21)!!#View attachment 573252 nimeona mini hapa dar watu Wengi kwenye magari sehemu za biashara wameweka bendera ya taifa la israel.natambua umuhimu wa historia ya dini na mahusiano ya mungu na watu wa kale hasa wayahudi.pamoja na kuwa taifa teuli bado sijajua mantiki ya watu kutembea na bendera zake.je ina maana jeshi la serikali ya mungu bado israeli ina nguvu kama zamani.wenye bendera ni dhehebu gani Katika ukristo kuna nini nyuma ya pazia kuhusu ukweli..watu wenye bendera za israel wanaamini nini kuhusu hio nchi maana mimi naona nyakati hizi huko israel maisha ni ya kawaida kabisa kama miji mingine duniani na sala hakuna haja wala sababu ya kuiona kama ni taifa la kipekee mpk kutembea na flag yake
Maneno mengine ni kama mtu anawaza na makalio. Upuuzi mtupu. Waafrika ni wakuburuzwa tuNi kweli na si tu hizo bendera,pia wengi wamekua wakidai wanaenda kuhiji kwa maana kwamba kuna nguvu ya kiMungu ndani yao, na baraka tele!!!,lakini ukweli ni kwamba watu wanafikiri Mungu yupo katika baraka za vitu,kwa sasa Yesu yupo mioyoni katika yohana 4:20-27,na pia baraka zitatokea pale utakapofanya mapenzi ya Bwana wetu Yesu Kristo,kumbukumbu 28:1-14,neno linasema mkitii sauti na amri za Mwenyezi-Mungu ,Mungu wenu baraka hizi zitawajilien,mtabarikiwa mashambani na mijini nk.......!lkin hii hutokana na kwamba watu hawajui nguvu ya Yesu kwamba ipo kwao na kwa watu wa mataifa mengine !!!!hvo nguvu ya bendera au kuhiji haimsaidii mtu chochote km asipoangalia kutimiza mapenz ya Mungu na kuacha dhambi mfn hasira,uzinzi,uasherati,uongo,wivu,usengenyaji,chuki,matusi,uchu ,shauku na mengine kama hayo,(galatia 5:16-21)!!#
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wapumbavu