Wenje + Mbowe VS Masha: Hii itakuwa ni kumaliza kabisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenje + Mbowe VS Masha: Hii itakuwa ni kumaliza kabisa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by kasyabone tall, Oct 28, 2010.

 1. k

  kasyabone tall JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 13, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 33
  Mimi napendekeza kwa CHADEMA kuwa kuna haja kubwa ya mbowe kumsaidia kampeni WEnje hata kwa siku moja tu.Nawaangalia hawa watu kwa mtazamo kwamba Masha anajifanya mtoto wa mjini, Sasa akipelekewa mtoto mjanja wa mjini zaidi hali itakuwa safi sana kwa CHADEMA. Wenje sina mashaka kuwa anamuweza Masha lakini Mbowe atammaliza kabisa. Masha hawezi furukuta kwa Mbowe hata kidogo. Napendekeza kwa viongozi wa chadema kama itawezekana Mbowe aende kumsaisia Wenje hata kwa siku moja tu.
   
 2. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kamanda Mabere Marandu yuko Maswa, baada ya hapo anatua Mara then anapita Kwa Wenje.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wakuu wa Chadema wote wako kamili mwanangu!...Marando ndo Mwanaizaya zaidi, utadhani wa mama mmoja wote!..Usipate shida Nyamagana ni yetu!
   
 4. M

  Msharika JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  greta, and let it be
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hapo mtu mzima Masha naona anaelekea kustaafishwa
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Akitua Marando halafu akatua na Mbowe sipatii picha
   
 7. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,866
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Nakumbuka enzi zile kama kuna sehemu mambo yanakuwa yamebana CCM walikuwa wanampeleka Mzee Malecela aka Tingatinga kusawazisha. Kwa Chadema nao wanao Troubleshooters kama mpiganaji Marando aka Che Guevara na wengineo wengi (Zito, Mbowe, Lissu) wanaweza tumwa na chama kwenda sawazisha mambo inapobidi!!! Tanzania bwana, mambo Tambarare!!!
   
 8. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kwa sasa ccm wana Riz 1 na mama hatoki mtu hapo!
   
 9. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mkuu hii kauli ngumu sana,m hebu jaribu kuinyambulisha nyambulisha, LOL!
   
 10. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Shuka kwa shuka, campaign trail....lol
   
 11. Y

  Yetu Macho JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 223
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Masha kashikwa pabaya. Historia inamhukumu na watu wamechoka kuburuzwa. wenje anasubiri kuapishwa... Sijui yu hali gani hasa baba wa mshkaji wake anaponing'inizwa pia. Maana anajua uwaziri alipewa kwa sababu ya dogo. Baba anatemwa, yeye anatemwa sa sijui nani atambeba mwenzie

  Amakweli siku za kufa nyani....................
   
 12. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #12
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Masha anakwenda na maji Nyamagana.
   
 13. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60

  Umenifurahisha sana mkuu!
   
 14. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Watu wa Mwanza Nyamagana ni yetu.

  Masha aliaanza kuweweseka hata kabla ya uteuzi wa Wenje akidai siyo raia. Tume wakampiga na chini. Nasikia mkakati wake kwa sasa ni kutumia wadhifa wa Waziri wa Mambo ya ndani na Jeshi la Polisi kuchakachua matokeo.

  Na kama NEC watamtangaza Masha kuwa Mshindi LAZIMA TUENDE MAHAKAMANI LAZIMA WATAKUWA WAMEIBA KURA.
   
 15. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2010
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 2,142
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  :israel:
   
 16. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kwa hali nilivyoona Nyamagana Jana TBC1 saa nne usiku, Masha aandike maumivu hata kama Mbowe hatakwenda kule.
   
Loading...