Wenje katika kashfa ya kutotimiza ahadi


kamanda naomba usome kwa umakini, wameandika "HAJATIMIZA AHADI YA KUWALIPIA TOKA " JANUARY MWAKA JANA" "
 
 
jimbo la nyamagana linaliliwa kwa udi na uvumba na ubaya wa jimbo hilo tangu zamani za mabiti huwa hawajirudii kama musoma mjini na morogoro mjini sijui ametayarishwa nani 2015
 
 
kama huwa anatoa madawati mwisho wa mwaka kwann amechangisha hela za watu mapema??na hizo ada je?hao wanafunzi wanasoma shule gani?km ni ya serikali,it may be possible,tatizo ninaloliona hapo ni kwasababu ni mbunge wa chadema basi lazima atetewe,angekuwa wa ccm ingekuwa balaaaa,,,tuwe makini tusije ruka mkojo tukakanyaga mavi........
 

Endelea kujifariji....
 
Vipi kafikia wapi kujenga Machinga Complex Kirumba.
 

Magazeti haya kila siku yanaibuka! Na habari nazo inabidi zinaiibuke!
 
Anaejiita mkurugenzi wa gazeti la Baruti kwanza ni kanjanja,CV yake kiukwel hata kuitwa mwandishi ni kashfa kwa tasnia ya habari! Huyu bwana ni mpiga picha hata kabla ya gazeti la msanii afrika lililokuwa likimilikiwa na SCPC kwa sasa SMG,kwa kutaka cheap labour walichukuliwa km wapiga picha wa gazeti wakianza km wauza picha wa gazeti baadae akaanza kuuza na habari gazetini kaanza kujiita mwandishi wa habari. Swali hapa ni kasomea wapi hyo taaluma? Sishangai gazeti hili likiandika habari hasi zimuhusuzo Wenje kwa vile mkurugenzi huyu aliwahi kug6bea udiwani kwa tiketi ya CCM na akashindwa. Nasema tena,sishangai kuandika habari hasi kumhusu Wenje kwa sababu atakuwa anawafuraìsha mabosi wake Dialo na Shilatu. Baruti ni gayeti la udaku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…