Inawezekana mkuu, ndio maana nikasema inaweza ikawa habari ya kumchafuakuna dalili za uongo, yaani watoto hawajalipiwa ada miaka miwili, nani kakwambia kuna utaratibu wa kulimbikiza ada hata kwa nusu muhula, mtawadanganya wasiosomesha kwa sasa. ccm inaharibu ufahamu wa watanzania.
Mbunge wa Nyamagana (Chadema) Ezekiel Wenje ametuhumiwa kushindwa kutimiza ahadi ya kulipia wanafunzi 130 wa sekondari ada.
Wakitoa malalamiko yao wakuu wa shule walisema Mh Wenje aliahidi kusomesha wanafunzi hao lakini toka Januari mwaka jana hajalipa ada kwa wanafunzi hao. Ada hiyo imefikia Tsh mil 18.
Source: Gazeti la Baruti.
Maoni yangu.
Mheshimiwa Wenje hizi zinaweza kuwa propaganda za kukuchafua, lakini kama ni kweli, hii itakuwa draw-back kubwa kwa chama makini kama chadema.
Nilitegemea Muwe wa kwanza kutimiza ahadi tena bila kuhimizwa, lakini kama na nyinyi mnashindwa kutimiza ahadi mlizozitoa bila wenyewe basi hatuna pa kukimbilia. Tutamwamini nani, hata vyama vya upinzani vinatugeukia.

Jambo limezua jambo!Mimi lawama zangu kwa Wenje tulichanga pesa pale viwanja vya sahara kwa ajili ya madawati na sijawahi sikia pesa zilipoenda
Hii hujuma inafanywa na mkurugenzi wa jiji la mwanza kuna habari nilishasikia Wenje akimlalamikia kuwa amekataa kuidhinisha check ya nmb ya hizo ada.tusubirie majibu ya wenje ukweli utajulikana.
Mimi lawama zangu kwa Wenje tulichanga pesa pale viwanja vya sahara kwa ajili ya madawati na sijawahi sikia pesa zilipoenda
suala la madawati alishawahi kujibu redioni kuwa kila mara ana utaratibu wa kugawa madawati kila mwisho wa mwaka,na mwaka huu atafanya hivyo mbele ya wananchi kwa pesa zilizochangwa[/QUOTE mkuu zilipatikana 70ml + anakaa nazo mwaka mzima ndio agawe madawati au anazizungushia mahali na kula riba,pili VIC FISH waliahidi kuchonga 40% zaidi ya tulizochanga wananchi.