Wenje atishia kwa bastola kikaoni

Dogo anajitafutia matatizo dawa nikutembea na rungu tu kama mmasai
 
Hizi bastola siku hizi hawa viongozi wetu ipo siku watapishana kauli kwenye vikao vyao alafu wabutuane wawe makini bwana!
 
Hizi bastola wanazinunua wapi?
Incidents have shown that there are a lot of weapons in very wrong hands. There is a need for a review of fire arms possesion laws before we start losing lives. At the moment any Dick, Tom and Harry can just visit fire arms shop and with cash in hand you have one in at most six months.
 
Inabidi sheria ipitishwe watu wapimwe kwanza akili ndio wapewe bastola.
 
vurugu za kufa mtu zimezuka katika kikao cha ndani cha CHADEMA ambapo mbunge wake Ezekia Wenje alitumia bastola kumtisha mmoja wa viongozi,mbele ya katibu mkuu wa chama hicho Dk Wilibrod Slaa.

akizungumza akiwa kituo cha polisi Nyamagana Robert Gwanchele ambaye ni mjumbe wa kamati tendaji ya chama hicho wilaya ya nyamagana alisema tukio hilo lilitokea jumamosi iliyopita na kesi yake ni jalada namba MZN/RB/2118/2012..............
 
  1. Uhuru
  2. Jambo leo
  3. Habari LEO
  4. Daily news

Haya magazeti yote siyo reliable source of information; kwanini wasitangaze toka hiyo siku ambapo tukio lilitokea; Dr Slaa yuko huku Arusha anafanya mikutano toka Jpili wao ndo wanatoa habari kama hii, ili kupropaganda wenje maana amewabana kwenye uchaguzi wa udiwani Kirumba!
 
Inabidi sheria ipitishwe watu wapimwe kwanza akili ndio wapewe bastola.

Isipokuwa wana CCM kama huyu.......

07ragekam.jpg
 
Habari Leo,Uhuru,pekee ndio walioandika hizo habari(za uzushi)waongo bana Dr Slaa mbona aliondoka mwanza,ccm hawana jipya ni wazi washazamia meli ya wa-giriki(chadema)muda c mrefu wanatoswa
 
hivi silaha kama hiyo unaweza kuitumia muda gani maana naona ukishitukizwa imekula kwako. si unaona yaliyonkuta malima, alikuwa na silaha mbili lakini bado aliibiwa kila kitu.
 
Back
Top Bottom