Wenje asambaratisha CCM Sengerema

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
Mkurugenzi wa mambo ya nje wa CDM ambaye pia ni mbunge wa Nyamagana Ezekiah Wenje jana alifanya mkutano mkubwa wa hadhara mjini Sengerema ambapo wanachama 50 wa CCM walijitoa katika chama hicho na kujiunga na CDM.Mkutano huo unadaiwa kuwa mkubwa kuwahi kufanywa na chama cha siasa mjini hapo.

SOURCE:TANZANIA DAIMA
 
Je alifanikiwa kuwarejesha wale waliodaiwa kunyakuliwa na Ngeleja?
 
hapo kazi ipo

nadhani ndiyo maana waliodaiwa kuwa viongozi walizomewa na wananchi walipo kuwa jukwaani

Big up Wenje sasa bado Nyanza na KUKIIMARISHA CHAMA HUKO PIA PANGA UONGOZI IMARA
 
Siasa za Tanzania bana......Yaani ni kama Ze komedi flani hivi...

Haziishi kushangaza...
 
Safi sana jembe endelea kuwakimbiza mpaka kieleweke!!
 
Wenje ni mbunge, waziri kivuli na mkurugenzi nje! Malipo mara 3!
 
Hizi mbona ni mvua za rasharasha? mafuriko yanakuja. Msishangae kusikia kijiji au tawi zima limeamia chadema maana watu wamechoka kwa ufisadi na usanii wa magamba.
 
Siasa za Tanzania bana......Yaani ni kama Ze komedi flani
hivi...

Haziishi kushangaza...




Ngeleja akirudi tena sijui itakuwaje hata, inakuwa kama igizo flani hivi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…