hiyo picha ilikuwa kipindi cha kampeni mkuu., na wote wawili yeye na lembeli WALIBEBWA, wakakosa ubunge, dalili mbaya hii huu ni ubwanyenye.hakuna nisichokipenda kama. kumbeba mwanadamu mwenzako juu ya kiti ikiwa haumwi kwani inanikumbusha enzi za ukoloni mababu zetu walifanyiwa hivi kwa kulazimishwa.
kwa nini wambebe ikiwa kesi bado inaendelea?
wngesubiri ashinde.