WANA JF Mambo?. Naona mbunge wa Nyamagana jiji la Mwanza, Ezekiel Dibogo Wenje amedhamiria kuijenga CHADEMA. Jana alikabidhi pikipiki 4 kwa Kamati Tendaji ya chama Nyamagana. Nyingine tena 4 atazitoa Februari, 2014 na akasema: "Tulianza na Mungu, tutamaliza na Mungu 2015". Waungwana naomba kuwasilisha. Wenje ni mwenye shati la Madoadoa!