CHADEMA hemu jifunzeni kukubali yaishe.
Ndiyo nani mtu huyo?...ni wa chama gani...mi ndiyo nalisikia hilo jina leo!...tufafanulie anashughulika na nini na aliingiaje Bungeni?Akiwa ana changia kwenye hotuba ya wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, amekaririwa akisema anakipongeza chama chake cha CHADEMA kwa mafanikio makubwa waliyo yapata kwenye chaguzi za vijiji na vitongoji huko Iramba.
My take;
Naona sasa CHADEMA wameanza kupoteza mwelekeo, tangu lini mshindani akajisifu kuukaribia ushindi badala ya kushinda?
Hawana tofauti na mtu aliye jinyea halafu akadaka uharo wake then akaanza kujisifu, kumbe ana sahau kama ametandaza harufu kali kwenye hayo mazingira.
CHADEMA hemu jifunzeni kukubali yaishe.
Weche ajikosha bungeni!
Ndiyo nani mtu huyo?...ni wa chama gani...mi ndiyo nalisikia hilo jina leo!...tufafanulie anashughulika na ninin aliingiaje Bungeni?
Well...Wenje namjua!mkuu, ni makosa tu ya maandishi. ni EZEKIA WENJE na si WECHE
wabunge wa chadema siku za hivi karibuni wamekuwa kama wamechanganyikiwa vile.
Akiwa ana changia kwenye hotuba ya wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, amekaririwa akisema anakipongeza chama chake cha CHADEMA kwa mafanikio makubwa waliyo yapata kwenye chaguzi za vijiji na vitongoji huko Iramba.
My take;
Naona sasa CHADEMA wameanza kupoteza mwelekeo, tangu lini mshindani akajisifu kuukaribia ushindi badala ya kushinda?
Hawana tofauti na mtu aliye jinyea halafu akadaka uharo wake then akaanza kujisifu, kumbe ana sahau kama ametandaza harufu kali kwenye hayo mazingira.
CHADEMA hemu jifunzeni kukubali yaishe.
CHAMA CHA MAGAMBA (ccm) hemu jifunzeni kukubali yaishe
UNAFIKIRI CHADEMA WAMEKUBALI KUSHINDWA? HEBU SOMA HAPA CHINI
Uchaguzi wa vijiji iramba magharibi umemaliza juzi na matokeo kutangazwa yakionyesha ccm imeshinda vijiji vyote,na chadema kuambulia vitongoji viwili mulembe na mangole,na wajumbe 40. Mimi nilihusika kupiga kampeni kama mwenyekiti wa kamati ya kampeni wa chama changu chadema. Zipo sababu nyingi zilizowapa ushindi ccm,zingine tutazijadili kwenye vikao vya chama:
1 kampeni za vitisho zikiongoza na gaidi mwigulu,akiwatisha kuwa chadema ni wauaji.
2,matumizi ya rushwa ya fedha na ahadi mbalimbali.mf alinunua vyombo vya kwaya kanisa la tintigulu,mwigulu na vibaraka wake waligawa fedha kijiji cha nkyala milion moja na laki sita,kinkungu diwani wa viti maalum mama zingula kagawa rushwa kwa wapiga kura NK.
3, ni makosa yetu chadema. Kumtumia pandikizi edga ntundu kwenye kampeni,mtu ambae alitusaliti mwaka juzi kwa kununuliwa na mwigulu. Huyu ni kirusi kumtumia kwenye kampeni lilikuwa kosa kubwa. Mwisho chadema imeshindwa kulinda kura hususan msansao na kisonga shelui. Baadhi ya viongozi kata ya shelui wanatuhuma
mkuu, ni makosa tu ya maandishi. ni EZEKIA WENJE na si WECHE
kwa hivyo ulitaka nisemeje? Hebu nieleze uhalisia halafu nikupime
haiwezekani hayo yakawa makosa ya ki-uandishi, hayo ndo matatizo ya kukimbia umande na kujifunzia kuandika kwenye keyboard za lumumba; "the correlation between ezekiel wenje and wenche is too remote".
Matokeo haya ya CHADEMA yamechangiwa na kazi kubwa iliyofanywa na Kiongozi wa kampeni Kamanda Ally Bananga.
Haiwezekani hayo yakawa makosa ya ki-uandishi, hayo ndo matatizo ya kukimbia umande na kujifunzia kuandika kwenye keyboard za Lumumba; "The correlation between Ezekiel Wenje and Wenche is too remote".
Mngekuwa mna akili timamu mngeandaa maandamano huyu mpuuzi aliyepewa jukumu la kukiletea ushindi ki NGO chenu ang'oke lakini kwa kuwa ni Mazombi mnang'ang'ania eti kwa mara ya kwanza kusimamisha mgombea, mmesajiliwa zaidi ya miaka 20 imepita mlikuwa wapi kusimamisha mgombea hapa.
Hatimaye matokeo kamili ya uchaguzi wa vijiji na vitongoji uliofanyika wilayani Iramba yametangazwa.
Katika uchaguzi huo CHADEMA kwa mara ya kwanza ndiyo kimesimamisha wagombea karibia katika nafasi zote.
Matokeo rasmi yanaonyesha kwamba CHADEMA kwa mara ya kwanza kimeweza kupata vitongoji 2 na wajumbe wa Halmashauri za vijiji 40.Ikumbukwe kabla ya uchaguzi huu vitongoji vyote na wajumbe wote wa halmashauri za vijiji walikuwa CCM.
Pamoja na kwamba CCM iliweza kurejesha viti vya uenyekiti 8 bado wenyeviti hao wataongoza vijiji hivyo kwa mchanganyiko wa wajumbe wa CCM na CHADEMA ambapo kabla ya hapo hakukuwa na mjumbe hata mmoja wa CHADEMA.