Tang Zhou
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 1,206
- 2,587
Matendo ya Utawala wa Rais Magufuli yanaiumiza mno nchi...kama kiongozi wa nchi na kakikundi chake cha wapiga deal hataki watu kama Askofu Niwemungizi, Aidan Eyakuze, Maxence Melo, Onesmo Olengurumwa, Jenerali Ulimwengu, Zitto Kabwe na watu wengine WENYE AKILI wawe Raia wa Tanzania, huyu mtu anataka nchi iwe na watu wa namna gani, wenye akili ya Bashite???
Vyeti feki...yeye tu na Bashite ndo wana vyeti halali
Wafanyakazi hewa....yeye tu na Bashite ndo hawaguswi
Na sasa Uraia...yeye tu na kakikundi chake ndo Raia halali, wengine wote tuliobaki ndo Wahutu eti!!!
Magu anakwaza sana yan!