Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,971
- 35,343
Lunch na vochaUlisema hawakuombiombi na hujawahi kuwahonga... sasa uchumi unaporomokaje?!au nyota hazijaendana
Mwanaume pambana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Lunch na vochaUlisema hawakuombiombi na hujawahi kuwahonga... sasa uchumi unaporomokaje?!au nyota hazijaendana
Mwanaume pambana!
We nawe mpana wewe😛😛
💯🤝Mwanamke haachwi,
Mwanamke anapunguziwa mawasiliano.
😂had mwakani mwez wa 4Mkuu formula Ni ile ile Kuna pesa naisikilizia
Yaani nitaiskilizia sana😶🤕🤕😂had mwakani mwez wa 4
Mjapani anamtibua Arabua eeh
Ujawahi niangusha mzeeFanya juu chini kabla haujawapotezea uwe umewapelekea moto hautajuta
Njoo tuzitoeWatu tuna genye zetu tumetulizana,, tuanze kujadili za kwako,, unaumwa
Hazijanikera kiasi hichoNjoo tuzitoe
Sikiliza kwanza huu wimbo, Ukimaliza niambie nikushauri⬇️
Umeamua kuweka wazi hadhira ijue kama una Nyege?!... uko na cofidence sana!😃👍🏾👍🏾👍🏾Watu tuna genye zetu tumetulizana,, tuanze kujadili za kwako,, unaumwa