wengine mnawezaje kula milo yote mitatu?

wengine mnawezaje kula milo yote mitatu?

Just relax and let nature take place.

You'll eat when your body rwlly need the food.

For one to die of hunger I think maybe it takes 3to 7 days, depends with someone's immunity.
No way, Asante 🤝
 
Ugonile,

Ni muda sasa napitia hali ambayo binafsi sifikiri kama iko sawa.

Napata tabu sana kula milo yote mitatu, ni either niskip mlo mmoja au miwili ndo nile mwingine sababu ya kukosa appetite ya kula.

Mfano saivi nina njaa ya kufa mtu ila kila nikifikiria kitu cha kula naishiwa pozi.

Shida inaweza kuwa nini wakuu, au ni ugonjwa?
Inaweza ikawa ni ugonjwa au umasikini.

Huwezi kuniambia una njaa halafu ukose appetite ya kula mchemsho wa kuku au kitimoto rost. Labda uwe unaumwa.
 
Ugonile,

Ni muda sasa napitia hali ambayo binafsi sifikiri kama iko sawa.

Napata tabu sana kula milo yote mitatu, ni either niskip mlo mmoja au miwili ndo nile mwingine sababu ya kukosa appetite ya kula.

Mfano saivi nina njaa ya kufa mtu ila kila nikifikiria kitu cha kula naishiwa pozi.

Shida inaweza kuwa nini wakuu, au ni ugonjwa?
Shida itakuwa kuishiwa mapozi sababu vyakula vipo ila ukivifikiria ndo unaishiwa pozi la kuvila.

Swali: kwan huwa unakula ukiwa katika pozi gani?
 
Sijui ni uzee or what
Binafsi najikuta nakula mara moja tu kwa siku😅
 
Back
Top Bottom