Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 20,548
- 44,316
Kula unapohisi njaa
Tia mabarafu kama unayo kwenye freezerNina ka Vodka hapa, hivi hii pombe unaweza kuchanganya na nini ndiyo inakuwa fresh au unakunywa yenyewe, naomba kueleweshwa
Niliiweka kwenye fridge hapa yenyewe ishakuwa ya baridi kuna haja ya mabarafu?Tia mabarafu kama unayo kwenye freezer
duuh.!hii kali sikuwezi yaani wali unaliwa kwa umma na kisu.!Unshindwaje mkuuView attachment 3287259
Icho nachokitaka ndio tatizo langu lilipo mkuuSwali la kwanza unafikiria kula Nini ? Ni kile kinacho patikana au unachotaka ?
Labda njegere ikate kiuno😂😅Vya kukata njegere
How? Explain pls😁😁Labda njegere ikate kiuno😂😅
Kama ishapoa ipige ivoivo mdogomdogo usisahau tu mzikiNiliiweka kwenye fridge hapa yenyewe ishakuwa ya baridi kuna haja ya mabarafu?
Majirani wamelala watasema nawapigia keleleKama ishapoa ipige ivoivo mdogomdogo usisahau tu mziki
Kwani haulipi kodi?Majirani wamelala watasema nawapigia kelele
Mimi nikiwa kama wewe ntashukuru sana mkuu, btw huwa zinaishia kwenye chakula gani maana hapa Bongo kila resta unayoingia menu zinafananawengine tunatafuta dawa tuwe kama wewe mkuu,..maana hela zote zinaishia kwenye kula na kushiba hatushibi😔😔🥲
NalipaKwani haulipi kodi?
Inawezekana pia mkuu, ila ni vizuri nitendee tumbo langu haki nikiwa bado nina nafasi ya kufanya ivoLabla unakaribia kufa 😎
Kwaiyo unashauri vipi apo Mama wa malavidavi, hakuna kitu kibaya kama unahisi njaa af appetite huna na pesa unayo1. Ukiwa na pesa ni kaiwa sana kutokusikia njaa
2. Ukiwa na chakula na kishapikwa ama unapika mwenyewe, rahisi sana kutosikia njaa.
3. Kinyuma chake, ukiwa huna hela na huna chakula njaa itakuuma kama hujala miaka 6.
Akili mtu wangu ndo mchawi.
hapa naongelea kiasi cha msosi na kipato changu haviwiani,...ok by the way,..unamfahamu BAMDOGO KAZOA?🤔😔❗❗Mimi nikiwa kama wewe ntashukuru sana mkuu, btw huwa zinaishia kwenye chakula gani maana hapa Bongo kila resta unayoingia menu zinafanana
Kwaiyo unashauri vipi apo Mama wa malavidavi, hakuna kitu kibaya kama unahisi njaa af appetite huna na pesa unayo