MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,145
- 12,687
Izo nikipiga naweza kukaa siku nzima bila kula baada ya kunywa supu asubuhiPiga Short moja utanishukuru
Kula chips na kidali mkuuUgonile,
Ni muda sasa napitia hali ambayo binafsi sifikiri kama iko sawa.
Napata tabu sana kula milo yote mitatu, ni either niskip mlo mmoja au miwili ndo nile mwingine sababu ya kukosa appetite ya kula.
Mfano saivi nina njaa ya kufa mtu ila kila nikifikiria kitu cha kula naishiwa pozi.
Shida inaweza kuwa nini wakuu, au ni ugonjwa?
Mbona hamna nyama hapo mkuu?Unshindwaje mkuuView attachment 3287259
Izo nikipiga naweza kukaa siku nzima bila kula baada ya kunywa supu asubuhi
Nikiona wali nais kichefuchefu kabisa mkuuUnshindwaje mkuuView attachment 3287259
Hamna njia nyingine zaidi ya iyo, maana iyo ni temporaryNenda pharmacy kapate dawa ya kuongeza hamu ya kula.
Swali la kwanza unafikiria kula Nini ? Ni kile kinacho patikana au unachotaka ?Mfano saivi nina njaa ya kufa mtu ila kila nikifikiria kitu cha kula naishiwa pozi.
Shukran 🙏 kesho inshallahHiyo minyoo mkuu, jitahidi upate dawa au nenda zahanati iliyo karibu nawe kwa ushauri na matibabu zaidi😊
Sasa hapo uma na Kisu vya kazi gani?Unshindwaje mkuuView attachment 3287259
Pamoja ✊️Shukran 🙏 kesho inshallah
Vya kukata njegereSasa hapo uma na Kisu vya kazi gani?