Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,978
Hii nchi hii!!!Waifu kasafiri kikazi.
Katuachia (mimi na dada wa kazi) upweke kama wote.
Wengine mnawezaje kuishi katika hali kama hii?
ndio mkuuSasa wewe na mdada wa kazi hapo
ndiyo mkuu nchi hiihiiHii nchi hii!!!
Umri wa kuishi na mtoto wa watu kiongoziUna miaka mingp? we ni wa kiume au mwanaume?
kiongozi we mtz au?Wewe ndio mdada wa kazi umeachiwa nyumba au
si kuandaa misosi kiongozi au?hujasoma biblia ujue kazi za kijakazi
Kua serious mkuusi kuandaa misosi kiongozi au?
Unazingua braza kedeUmri wa kuishi na mtoto wa watu kiongozi