Augustine Moshi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2006
- 2,554
- 1,382
Mwamko wa wananchi wa kutaka mabadiliko ni mkubwa kuliko mategemeo. SUGU atashinda Ubunge Mbeya. Ngoja aje Dr. Slaa huko (Oktoba 5) muone atakavyoimarisha kiu ya mabadiliko ya wananchi wa Mbeya.
Nimesema kwamba wananchi vijijini wana mwako kuliko tunavyodhani kutokana na yaliyoniyokea mimi. Nilituma ujumbe kuwaomba wenzangu waungane na CHADEMA, nikakuta nimechelewa. Sio tu kwamba wameshaikubali Chadema, bali yatari wameshakuwa viongozi wa CHADEMA kwenye sehemu zao.
Kunan kitu kinaitwa empirical evidence. Ni ushahidi wa kupimika, wa kisayansi. Hali ilivyo tayari ni kwamba all available empirical evidence points to a CHADEMA victory. Opinion polls zote ambazo zimepatikana hadi sasa (ya UHURU, ya DAILY NEWS, ya JF) zinasema wananchi wanataka mabadiliko. Na ikumbukwe JF inajumuisha maoni ya Watanzania toka kona zote za dunia.
Kutopatikana kwa opinion polls za REDET ni ishara nyingine muhimu ya kuashiria kwamba CCM haifanyi vizuri kwenye opinion polls.
Ila mazoea yana tabu. Wako wachache amabo wamezoea CCM kushinda (au kutangazwa tu mshindi) kila mara kiasi ambacho sasa akili yao hairuhusu kabisa kuona uwezekano wa chama kingine kushinda. Kameingia hako kamgando vichwani mwao.
Allah Akbaru! God is great! Taifa lililotawaliwa na watu wale wale kwa miak 50 bila kupata maendeleo sasa linataka kufanya mabadiliko. Tuna heri sisi tulioruhusiwa kuyashuhudia haya. Watu waliokuwa wamekosa matumaini sasa wamesisimka tena! Wanaamini, with justification, mwakani Tanzania itaanza maisha mapya.
Ngumi ni ishara ya nguvu. Hata Mandela alitumia ishara hiyo sana! Ngumi zinazooneka kwenye kampeni za CHADEMA ni ishara ya nguvu za uma wa Watanzania. SUGU endelea kutumia ishara ya ngumi huko Mbeya. Usijali wachache wanaohaha wakiona ngumi za wananchi. Wamezoea kuona mitutu ya polisi peke yake. Wanaogopa sana nguvu za wananchi.